Salaam!
Watu watofaitishe uchungaji na unabii,
Nabii ni kinywa Cha Mungu, Hakika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema.
Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo, kaongea mazito,
Nimesikia Mamlaka ya kiMungu KUPITIA matamshi yake. Nimesikia ujasiri wa ki Mungu ndani ya matamshi ya Lema,
Amesema "Kama Mungu aishivyo, Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atavuna"!
Kawaida ya Mungu huwa ana tabia ya kuwaficha watumishi wake ndani ya mfumo wa ufalme na wasijulikane, kumbe wamo kwa kazi ya ukombozi, alimpekeka Askofu Gwajima ndani ya CCM, wasio na macho wakadhani ameingia kushirikiana na wapotoa haki za raia kumbe anaufanya ujasusi.
Sasa analeta mtikisiko ndani ya chama, na Ile dhana ya kuwa wapinzani ndio wenye Nia ovu na mamlaka inafutika rasmi, anashambulia kutokea ndani kuleta mabadiliko,
Turudi kwa Lema, hana majeshi wala ulinzi, lakini anatamka mamlaka na suluhu ya wananchi na annashika hisia na matumaini ya wananchi.
NB: Kamwe tusiangalie Jeans aliyovaaa Lema na kuanza kuhoji iweje nabii avae Jeans, mbona hatushangai Mwamposa kukaa meza moja na watesi wetu na asifungue kinywa kukemea UOVU?
Kuanzia Leo, Mh Lema apewe heshima yake kama Nabii wa nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Mbariki sana mtu huyu.
Na kwa kuwa kinywa Cha BWANA kimenena KUPITIA mtumishi wake, asemayo ni sharti yatimie.
Na wote tuseme aamin🙏