kabila 12 za wana wa IsraeliKaisome Biblia vizuri utakuta;
1. Mitume 12
2. Manabii 11
3. Amri za Mungu 10
4. Makundi ya Malaika 9
5. Wenye Heri 8
6. Sakramenti 7
7. Makasiki ya Kana 6
8. Vitabu vya Mussa 5
9. Wainjili 4
10. Nafsi za Mungu 3
11. Maagano 2
12. Mungu 1
WEWE hujui kitu,Wewe siasa mchezo mchafu gwaji amepangwa ahamie chauma agombee urais ili Tz ionekane Kuna demokrasia maana upinzani ushakufa lissu wamemtia ndani.
Gwaji vs samiah lao ni moja acheni kudanganyika mnapotezwa maboya, kuweni makini