Nabii ni Sauti ya Bwana. Hutoa ujumbe na suluhisho ya nini cha kufanya kuepuka gadhabu ya MunguSalaam!
Watu watofaitishe uchungaji na unabii,
Nabii ni kinywa Cha Mungu, Katika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema.
Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo, kaongea mazito,
Nimesikia Mamlaka ya kizungu KUPITIA matamshi yake. Nimesikia ujasiri wa ki Mungu ndani ya matamshi ya Lema,
Amesema "Kama Mungu aishivyo, Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atavuna"!
Kawaida ya Mungu huwa ana tabia ya kuwaficha watumishi wake ndani ya mfumo wa ufalme na wasijulikane, kumbe wamo kwa kazi ya ukombozi, alimpekeka Askofu Gwajima ndani ya CCM, wasio na macho wakadhani ameingia kushirikiana na wapotoa haki za raia kumbe anaufanya ujasusi.
Sasa analeta mtikisiko ndani ya chama, na Ile dhana ya kuwa wapinzani ndio wenye Nia ovu na mamlaka inafutika rasmi, anashambulia kutokea ndani kuleta mabadiliko,
Turudi kwa Lema, hana majeshi wala ulinzi, lakini anatamka mamlaka na suluhu ya wananchi na annashika hisia na matumaini ya wananchi.
NB: Kamwe tusiangalie Jeans aliyovaaa Lema na kuanza kuhoji iweje nabii avae Jeans, mbona hatushangai Mwamposa kukaa meza moja na watesi wetu na asifungue kinywa kukemea UOVU?
Kuanzia Leo, Mh Lema apewe heshima yake kama Nabii wa nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Mbariki sana mtu huyu.
Na kwa kuwa kinywa Cha BWANA kimenena KUPITIA mtumishi wake, asemayo ni sharti yatimie.
Na wote tuseme aamin🙏
Pumbavu tu,hana lolote.Salaam!

Manabii kwenye Biblia wapo kumi na moja. Sasa, kwanini ninyi Chadema msichukue kalamu mkaenda kwenye Biblia zenu mkamuongeza Lema kwa kalamu ya wino akawa Nabii wa kumi na mbili kwenye Biblia zenu?Salaam!
Watu watofaitishe uchungaji na unabii,
Nabii ni kinywa Cha Mungu, Katika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema.
Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo, kaongea mazito,
Nimesikia Mamlaka ya kizungu KUPITIA matamshi yake. Nimesikia ujasiri wa ki Mungu ndani ya matamshi ya Lema,
Amesema "Kama Mungu aishivyo, Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atavuna"!
Kawaida ya Mungu huwa ana tabia ya kuwaficha watumishi wake ndani ya mfumo wa ufalme na wasijulikane, kumbe wamo kwa kazi ya ukombozi, alimpekeka Askofu Gwajima ndani ya CCM, wasio na macho wakadhani ameingia kushirikiana na wapotoa haki za raia kumbe anaufanya ujasusi.
Sasa analeta mtikisiko ndani ya chama, na Ile dhana ya kuwa wapinzani ndio wenye Nia ovu na mamlaka inafutika rasmi, anashambulia kutokea ndani kuleta mabadiliko,
Turudi kwa Lema, hana majeshi wala ulinzi, lakini anatamka mamlaka na suluhu ya wananchi na annashika hisia na matumaini ya wananchi.
NB: Kamwe tusiangalie Jeans aliyovaaa Lema na kuanza kuhoji iweje nabii avae Jeans, mbona hatushangai Mwamposa kukaa meza moja na watesi wetu na asifungue kinywa kukemea UOVU?
Kuanzia Leo, Mh Lema apewe heshima yake kama Nabii wa nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Mbariki sana mtu huyu.
Na kwa kuwa kinywa Cha BWANA kimenena KUPITIA mtumishi wake, asemayo ni sharti yatimie.
Na wote tuseme aamin🙏
Nchi yetu imebarikiwa sana.Tumeandika humu mara kadhaa

muislam gani hujui manabii? Wale ni mitume kumi na moja ukimtoa yuda iskarioteManabii kwenye Biblia wapo kumi na moja. Sasa, kwanini ninyi Chadema msichukue kalamu mkaenda kwenye Biblia zenu mkamuongeza Lema kwa kalamu ya wino akawa Nabii wa kumi na mbili kwenye Biblia zenu?
Hii ya kutupigia kelele JF inakera sana!
Kumbe magari yao yanatumia maji cku hizi,Utalaanika wewe
Huyu huyu anayetafuna tone tone kwa majigambo ya kutumia 300k per day
Sawa lema Lin familia Inairudisha Bongo?Salaam!
Watu watofaitishe uchungaji na unabii,
Nabii ni kinywa Cha Mungu, Hakika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema.
Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo, kaongea mazito,
Nimesikia Mamlaka ya kiMungu KUPITIA matamshi yake. Nimesikia ujasiri wa ki Mungu ndani ya matamshi ya Lema,
Amesema "Kama Mungu aishivyo, Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atavuna"!
Kawaida ya Mungu huwa ana tabia ya kuwaficha watumishi wake ndani ya mfumo wa ufalme na wasijulikane, kumbe wamo kwa kazi ya ukombozi, alimpekeka Askofu Gwajima ndani ya CCM, wasio na macho wakadhani ameingia kushirikiana na wapotoa haki za raia kumbe anaufanya ujasusi.
Sasa analeta mtikisiko ndani ya chama, na Ile dhana ya kuwa wapinzani ndio wenye Nia ovu na mamlaka inafutika rasmi, anashambulia kutokea ndani kuleta mabadiliko,
Turudi kwa Lema, hana majeshi wala ulinzi, lakini anatamka mamlaka na suluhu ya wananchi na annashika hisia na matumaini ya wananchi.
NB: Kamwe tusiangalie Jeans aliyovaaa Lema na kuanza kuhoji iweje nabii avae Jeans, mbona hatushangai Mwamposa kukaa meza moja na watesi wetu na asifungue kinywa kukemea UOVU?
Kuanzia Leo, Mh Lema apewe heshima yake kama Nabii wa nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Mbariki sana mtu huyu.
Na kwa kuwa kinywa Cha BWANA kimenena KUPITIA mtumishi wake, asemayo ni sharti yatimie.
Na wote tuseme aamin🙏
Familia yake ndio Sisi anaosimama juu kabisa kutupazia sauti Ili familia zetu ziwe salama.Sawa lema Lin familia Inairudisha Bongo?
Wewe siasa mchezo mchafu gwaji amepangwa ahamie chauma agombee urais ili Tz ionekane Kuna demokrasia maana upinzani ushakufa lissu wamemtia ndani.Salaam!
Watu watofaitishe uchungaji na unabii,
Nabii ni kinywa Cha Mungu, Hakika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema.
Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo, kaongea mazito,
Nimesikia Mamlaka ya kiMungu KUPITIA matamshi yake. Nimesikia ujasiri wa ki Mungu ndani ya matamshi ya Lema,
Amesema "Kama Mungu aishivyo, Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atavuna"!
Kawaida ya Mungu huwa ana tabia ya kuwaficha watumishi wake ndani ya mfumo wa ufalme na wasijulikane, kumbe wamo kwa kazi ya ukombozi, alimpekeka Askofu Gwajima ndani ya CCM, wasio na macho wakadhani ameingia kushirikiana na wapotoa haki za raia kumbe anaufanya ujasusi.
Sasa analeta mtikisiko ndani ya chama, na Ile dhana ya kuwa wapinzani ndio wenye Nia ovu na mamlaka inafutika rasmi, anashambulia kutokea ndani kuleta mabadiliko,
Turudi kwa Lema, hana majeshi wala ulinzi, lakini anatamka mamlaka na suluhu ya wananchi na annashika hisia na matumaini ya wananchi.
NB: Kamwe tusiangalie Jeans aliyovaaa Lema na kuanza kuhoji iweje nabii avae Jeans, mbona hatushangai Mwamposa kukaa meza moja na watesi wetu na asifungue kinywa kukemea UOVU?
Kuanzia Leo, Mh Lema apewe heshima yake kama Nabii wa nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Mbariki sana mtu huyu.
Na kwa kuwa kinywa Cha BWANA kimenena KUPITIA mtumishi wake, asemayo ni sharti yatimie.
Na wote tuseme aamin🙏
Tumemiss nyuzi zako za kutembea nazo night
Kaisome Biblia vizuri utakuta;muislam gani hujui manabii? Wale ni mitume kumi na moja ukimtoa yuda iskariote