chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,331 May 30, 2025 #21 Hakuna habit hapo, janjajanja, charalatan
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 May 30, 2025 #22 Mtoto wa Shule said: Kaisome Biblia vizuri utakuta; 1. Mitume 12 2. Manabii 11 3. Amri za Mungu 10 4. Makundi ya Malaika 9 5. Wenye Heri 8 6. Sakramenti 7 7. Makasiki ya Kana 6 8. Vitabu vya Mussa 5 9. Wainjili 4 10. Nafsi za Mungu 3 11. Maagano 2 12. Mungu 1 Click to expand... kabila 12 za wana wa Israeli
Mtoto wa Shule said: Kaisome Biblia vizuri utakuta; 1. Mitume 12 2. Manabii 11 3. Amri za Mungu 10 4. Makundi ya Malaika 9 5. Wenye Heri 8 6. Sakramenti 7 7. Makasiki ya Kana 6 8. Vitabu vya Mussa 5 9. Wainjili 4 10. Nafsi za Mungu 3 11. Maagano 2 12. Mungu 1 Click to expand... kabila 12 za wana wa Israeli
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,161 May 30, 2025 Thread starter #23 Mwamba 777 said: Wewe siasa mchezo mchafu gwaji amepangwa ahamie chauma agombee urais ili Tz ionekane Kuna demokrasia maana upinzani ushakufa lissu wamemtia ndani. Gwaji vs samiah lao ni moja acheni kudanganyika mnapotezwa maboya, kuweni makini Click to expand... WEWE hujui kitu, Reforms zitafanyika na CDM itashiriki uchaguzi. Chauma ndo nn!
Mwamba 777 said: Wewe siasa mchezo mchafu gwaji amepangwa ahamie chauma agombee urais ili Tz ionekane Kuna demokrasia maana upinzani ushakufa lissu wamemtia ndani. Gwaji vs samiah lao ni moja acheni kudanganyika mnapotezwa maboya, kuweni makini Click to expand... WEWE hujui kitu, Reforms zitafanyika na CDM itashiriki uchaguzi. Chauma ndo nn!