Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wananishangazaga hapo tu wanapotaja mpk chanzo hbr alipoipata!! " ........ Niliambiwa na ......"😂😂
Sasa wasipotaja ushahidi unakuaje? Inatakiwa wataje na chanzo kisha chanzo kije kukanusha. Au kikashtak. Hii ya kusema nilisikia nliambiwa na mtu ambaye siwezi mtaja....ni utapeli.
 
Amegombea kitu gani na kukataliwa? Machawa mnawaza ujinga tu
Hahaaa. Lema kashajipotezea kila. Ubunge hayumo, uongozi hayumo, kabaki baking tu
kwani kila mtu lazima awe kiongozi?
eti leo chawa wa ccm ndio wapiga debe wa sultani Mbowe
akili za kuambiwa changanya na zako lema,

kiburi na kukariri mambo kimekufanya ukataliwe arusha
 
Hu
Lema unaongea bila ushahidi
 
Kama Lema alivyosema haiingii akilini Benson Kigaila na Salum Mwalimu wake zao ni wabunge waliofukuzwa na kamati kuu.

Katika kamati kuu wanataka kuwaondoa wote wenye misimamo ili covid 19 warudishwe, CCM isipate upinzani wowote wa maana. Wasimamizi wa chaguzi ndio hao wawili wenye maslahi na wake zao.
 
Watageuka kuwa kama NCCR na TLP , even CUF when walipofanikiwa kupenyeza watu wao. Wamefanya hiv kwenye taasis nyingi si tu za siasa, lengo ni kudhoofisha na ku control
Ni wakati wa CHAUMA sasa
 
Sasa wasipotaja ushahidi unakuaje? Inatakiwa wataje na chanzo kisha chanzo kije kukanusha. Au kikashtak. Hii ya kusema nilisikia nliambiwa na mtu ambaye siwezi mtaja....ni utapeli.
Kama wa Lisu wa kusema aliambiwa na marehemu. Au kipimo hicho hakimhusu Lisu?
 
Amegombea kitu gani na kukataliwa? Machawa mnawaza ujinga tu

kwani kila mtu lazima awe kiongozi?
eti leo chawa wa ccm ndio wapiga debe wa sultani Mbowe
agombea wapi wakati alianza kukataliwa kitambo sana akiwa kiongozi wa kuchaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…