GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

Kwhy unaweza kupewa hadhi ya ukimbizi, halafu baada ya muda ukarudi nchi ukiyokimbia ukaishi, baada ya muda tena ukarudi uhamishoni kuendelea na ukimbizi wako.??
 
Kwhy unaweza kupewa hadhi ya ukimbizi, halafu baada ya muda ukarudi nchi ukiyokimbia ukaishi, baada ya muda tena ukarudi uhamishoni kuendelea na ukimbizi wako.??
Hawa wanafanya Watu ni wajinga 😅😅🤣🤣
Au Hatujakaa Huko Kwenye nchi za Ulaya
 
Lema siyo Mkimbizi, aliporudi Tanzania wakati ule ndipo alipojivua hadhi ya ukimbizi. Akili aliyoitumia ni kwenda na familia yake, soso sada hivi anaenda kama mume wa Canadian resident na baadaye na yeye atachukua ukaazi.
 
Tupe chanzo cha habari vinginevyo ni umbeya!
 
Umeondoka Mbowe akiwa Mwenyekiti,ukirudi utakuta Mbowe amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…