DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #21
Kusoma Na Perception Siwezi kukupa Ndugu Erythrocyte..Unaweza kunisaidia
Nilichokifanya Ni kukupa Habari unachotakiwa ni Kusema Hiki suo sahihi kw Hoja Yakinifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma Na Perception Siwezi kukupa Ndugu Erythrocyte..Unaweza kunisaidia
Kwhy unaweza kupewa hadhi ya ukimbizi, halafu baada ya muda ukarudi nchi ukiyokimbia ukaishi, baada ya muda tena ukarudi uhamishoni kuendelea na ukimbizi wako.??Sharti mojawapo la ukimbizi ikiwemo ukimbizi wa Lema kanada hadhi yake ya ukimbizi haimruhusu kushiriki siasa active vinginevyo anafutiwa hadhi ya ukimbizi
Kaona kuliko agombee uongozi kanda ya kaskazini na apoteze hadhi ya ukimbizi na posho za ukimbizi kaona posho kubwa kuliko hilo cheo
Kuna makabila mtu akienda kujisaidia haja kubwa kichakani husingizia anaenda kukata kuni ndicho Lema alichofanya kwenye huo waraka wake
Hahahaaa.....Lema anawati moyo wajumbe. Hakuna shida yoyote hapoSasa hapo hilo Tatizo kubwa kwenye chama liko wapi?
Hawa wanafanya Watu ni wajinga 😅😅🤣🤣Kwhy unaweza kupewa hadhi ya ukimbizi, halafu baada ya muda ukarudi nchi ukiyokimbia ukaishi, baada ya muda tena ukarudi uhamishoni kuendelea na ukimbizi wako.??
Ukiwauliza swali moja tuu wanakimbia.Hawa wanafanya Watu ni wajinga 😅😅🤣🤣
Au Hatujakaa Huko Kwenye nchi za Ulaya
Vipi kamanda na wewe unasimamia "no reforms no elections" Twende na Lissu au Mbowe ?Sasa hapo hilo Tatizo kubwa kwenye chama liko wapi?
Lema siyo Mkimbizi, aliporudi Tanzania wakati ule ndipo alipojivua hadhi ya ukimbizi. Akili aliyoitumia ni kwenda na familia yake, soso sada hivi anaenda kama mume wa Canadian resident na baadaye na yeye atachukua ukaazi.Sharti mojawapo la ukimbizi ikiwemo ukimbizi wa Lema kanada hadhi yake ya ukimbizi haimruhusu kushiriki siasa active vinginevyo anafutiwa hadhi ya ukimbizi
Kaona kuliko agombee uongozi kanda ya kaskazini na apoteze hadhi ya ukimbizi na posho za ukimbizi kaona posho kubwa kuliko hilo cheo
Kuna makabila mtu akienda kujisaidia haja kubwa kichakani husingizia anaenda kukata kuni ndicho Lema alichofanya kwenye huo waraka wake
ni kweli yake mkuu, usimbishieUna Ushahidi Wa Unachokisema?
Leta Ushahidi Au Sheria inayosema Hivyo..
Sources ya Uyasemayo ni Ipi
Naomba Utafasiri Andilo Hili la Lema Mchana kabla ya Barua yake kwa Umma!Sasa hapo hilo Tatizo kubwa kwenye chama liko wapi?
Nimelitafuta sijaliona kwa kweli, naona ameandika a good message.Sasa hapo hilo Tatizo kubwa kwenye chama liko wapi?
Mimi sijasema Ni Uongo ila Nimeomba Ushahidini kweli yake mkuu, usimbishie
Soma Post #32Nimelitafuta sijaliona kwa kweli, naona ameandika a good message.
Mimi Ni CCM mkuuwew sio chawa…wew ni kunguni mzee wa mbowe!
Tupe chanzo cha habari vinginevyo ni umbeya!Maneno Hayo Ameyasema Aliyekuwa Kiongozi wa Kanda ya Kaskazini Mheshimiwa Godbless lema..
Baada ya Kuandila Barua Katika Ukurasa wa Twitter Yenye Messeji kali Sana na Ya Kuhuzunisha na Ikionyesha Kuna TATIZO KUBWA kwenye Chama..
NANUKUU:-
Amani Katibu wetu wa Kanda , naomba nisomee ujumbe huu kwa viongozi wenzangu katika mkutano huu wa Kanda ambao utaitimisha nafasi yangu kama Mkti wa Kanda leo hapa Arusha.
Waheshimiwa Viongozi Tanga , Manyara,Kilimanjaro na Arusha , ninasikitika kwamba sitaweza kuwa nanyi ktk mkutano wa leo muhimu sana ktk chama chetu Kanda ya Kaskazini. Nilisafiri kuja kumuona mke wangu mpendwa na watoto na kupumzisha akili yangu kidogo kwani niliona ninapaswa kufanya hivyo kwa ajili ya amani kubwa ya moyo wangu.
Leo mtachagua Kiongozi wa Kanda yetu ya Kaskazini na kama ningekuwepo ningepiga kura lakini bahati mbaya sitaweza kupiga kura wala kuwasikiliza lakini kama naweza kupiga kura kidgitali pls nitafurahi kufanya hivyo , hata hivyo ninakiri kuona na kusikia majina ya wagombea wote mliomba nafasi ktk uchaguzi huu , sina maoni yoyote kwa wakati huu , japo kuwa najua nani ningempa kura kama ningekuwa hapo na nani asingestahili kwa upande wangu.
Nimekuwa kwenye kazi ya harakati kwa miaka zaidi ya ishirini , sijawahi ku fake the struggle na niko commited very seriously , kwani nimezika na kuuguza rafiki zangu wengi kwa ajili ya wajibu mwema wa kupigania haki na ustawi wa Nchi yetu , hivyo najali sana uadilifu wa kazi hii , lakinj pia nimepigwa kwa ajili yake , nimekwenda Polisi na Mahabusu na mahakamani mara nyingi sana na pia kuishi ktk upweke na majonzi mara nyingi sana kwa ajili ya wajibu huu mkuu lakini sijawahi kujuta kwani naona ili ni kusudi muhimu ktk maisha yangu na yetu wote.
Nafahamu Mimi sio Malaika naelewa ninaweza kuwa nimewaumiza au kuwakwaza watu wengi miongoni mwenu lakini ninaweza kula kiapo kwa mauti ya familia yangu kuwa sijawahi hata siku moja kuwaza hila juu ya mmoja wenu zaidi ya kujali pengine ubora na mkakati ktk kuimarisha kazi hii muhimu ambapo wkt mwingine imeleta mtafaruku mkubwa miongoni mwetu.
Viongozi mtakao chaguliwa leo , lindeni sana nidhamu ya Kanda yetu , Mwenyekiti mwingine na Kiongozi yoyote wa ngazi yoyote asitukanwe wala kudhalishwa kwa maana matusi na dhihaka zinaua sana morali ya kuwajibika. Pengine ni udhaifu kukimbia changamoto lakini vile vile ni hekima kuwaonyesha rafiki zako na maadui zako kuwa Leadership is not a Title, ili sote tujue kwamba kazi yetu ni utumishi na sio prestige.
Ninawatakia kila la heri ktk uchaguzi wenu , mfanye kwa amani na upendo kila mtu ajue kuwa ashindani na shetani isipokuwa rafiki zetu miongoni mwetu.
Namalizia kwa kusema maazimio yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni “ No reforms No Election “Maana yake ni kuzikana nafsi zetu kwa ajili ya kesho bora , hivyo baai mnahitaji Kiongozi atakaye waongoza ktk wajibu huu mkuu .Mkiwa Arusha siku zote tambueni kuwa mna ndugu yenu ktk FIKRA na WAJIBU MWEMA.
Naomba nimalizie kwa kusema maneno Haya , Amani Golugwa wewe ni best Katibu na a very good humble brother , Mungu akubariki sana. Mungu atakuinua siku moja zaidi na zaidi.
#Godbless Lema..#X