GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

Aiseehh wewe ni O:verpopoma!!
 
HEbu Nionyeshe niliposema Kuwa "Tatizo kubwa la Chama Lipo kwenye Post no 1"
Ukinionyesha Kauli hiyo Bila Kujali Nimeitoa Lini Au mwaka gani sio tu kwenye Uzi huu Tatufa uzi wowote..
Then Mimi nitakuwa Zwazwa (Kama ulivyotaja)..

Ila kama hakuna na Sijasema Hivyo weww Ni mpuuzi mmoja Mjinga mjinga na Zwazwa
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana.

Wakati wa JPM alienda Canada akidai serikali ya awamu ya tano inaua na kuteka watu, sasa hv anaondoka ili kuokoa maisha yake kutokana na chama chake.

Mtasema yote, ni suala la muda tuu.
 
Kwhy unaweza kupewa hadhi ya ukimbizi, halafu baada ya muda ukarudi nchi ukiyokimbia ukaishi, baada ya muda tena ukarudi uhamishoni kuendelea na ukimbizi wako.??
Hakuna kitu kama hicho, hauwezi kurudi katika nchi uliyoikimbia kama status yako ni mkimbizi then uendelee na ukimbizi wako. Hilo linawezekana kama status imebadilika kwa mfano kama umepewa citizenship na unatumia passport ya nchi hiyo iliyokupatia citizenship.
 
Mpaka yakukute.
Congo kuna maeneo yanaitwa kasai, kivu na Ituri nenda katembelee huko ukirudi utakua umeacha madeko ya kujiliza mtandaoni na kusema Tz siyo sehem salama, Tz mnalelewa kama nyanya unaanza chekechea hadi university hujaskia sauti ya risasi alafu unasema hauko sehem salama?
 
Hebu nenda kaiambie Familia ya Marehemu Mzee Ally Kibao huo upuuzi uone kama utarudi na hiyo sura.
 
Unafahamu Maneno anayotukana NTOBI mitandaoni anavyomtukana TAL/TL Kaagizwa na Mwenyekiti?



Siku Nyingije usiwe Unabusha Kitu usichokijua Sasa Niambie Hapo anayesema Ana Emotional Kidogo ni nani??
 
Alipokuwa mwenyekiti wa kanda alisitishiwa hadhi yake ya ukimbizi kwa muda sio?!
 
Huyu ntobi kafanya makosa makubwa sana
 
NO reforms no election,mbowe usiwachanganye watanzania tafadhari achana na wenyekiti nenda kwenye biasharaza zako
 
Unafahamu Maneno anayotukana NTOBI mitandaoni anavyomtukana TAL/TL Kaagizwa na Mwenyekiti?
View attachment 3180609
View attachment 3180614

Siku Nyingije usiwe Unabusha Kitu usichokijua Sasa Niambie Hapo anayesema Ana Emotional Kidogo ni nani??
Una matatizo ya uelewa finyu na kutoweza kujenga hoja.
Msingi wa swali langu ni bandiko lako la awali,wewe unaleta mambo mengine kuhalalisha kitu ambacho hakipo kwenye bandiko lako la kwanza.

Umejiona ulivyo kilaza!!??
Nimemaliza,sitakujibu tena.
 
MMEANZA KUNYOOKA MAKONDA TU KAANZA KUWAKIMBIZA NA BADOOO
 
W
AMEANZA KUNYOOKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…