GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

GOOD TEAM WORK YA CCM IMEKABA, HAWAHEMI HAWAPUMUI, 😀😀😀
""LEMA asepa, asema toka Makonda aingie arusha kama mkuu wa mkoa chadema imekufa, amebainisha ni heri awache siasa na ashughulike na mambo mengine ya kumuingizia kipato halali ""
Aiseehh wewe ni O:verpopoma!!
 
Nikikuita wewe ni zwazwa, kilaza na mfitini nitakuwa nimekosea!!??

Kwa mujibu wako ni kuwa tatizo kubwa la chama lipo kwenye uzi wako wa post namba moja, sasa inakuwaje jibu liwe kwenye maelezo mengine!!???

Hebu jipige makofi huku ukijiambiaa, " hakika mimi DR Mambo Jambo ni zwazwa kubwa".
HEbu Nionyeshe niliposema Kuwa "Tatizo kubwa la Chama Lipo kwenye Post no 1"
Ukinionyesha Kauli hiyo Bila Kujali Nimeitoa Lini Au mwaka gani sio tu kwenye Uzi huu Tatufa uzi wowote..
Then Mimi nitakuwa Zwazwa (Kama ulivyotaja)..

Ila kama hakuna na Sijasema Hivyo weww Ni mpuuzi mmoja Mjinga mjinga na Zwazwa
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana.

Wakati wa JPM alienda Canada akidai serikali ya awamu ya tano inaua na kuteka watu, sasa hv anaondoka ili kuokoa maisha yake kutokana na chama chake.

Mtasema yote, ni suala la muda tuu.
 
Kwhy unaweza kupewa hadhi ya ukimbizi, halafu baada ya muda ukarudi nchi ukiyokimbia ukaishi, baada ya muda tena ukarudi uhamishoni kuendelea na ukimbizi wako.??
Hakuna kitu kama hicho, hauwezi kurudi katika nchi uliyoikimbia kama status yako ni mkimbizi then uendelee na ukimbizi wako. Hilo linawezekana kama status imebadilika kwa mfano kama umepewa citizenship na unatumia passport ya nchi hiyo iliyokupatia citizenship.
 
Mpaka yakukute.
Congo kuna maeneo yanaitwa kasai, kivu na Ituri nenda katembelee huko ukirudi utakua umeacha madeko ya kujiliza mtandaoni na kusema Tz siyo sehem salama, Tz mnalelewa kama nyanya unaanza chekechea hadi university hujaskia sauti ya risasi alafu unasema hauko sehem salama?
 
Congo kuna maeneo yanaitwa kasai, kivu na Ituri nenda katembelee huko ukirudi utakua umeacha madeko ya kujiliza mtandaoni na kusema Tz siyo sehem salama, Tz mnalelewa kama nyanya unaanza chekechea hadi university hujaskia sauti ya risasi alafu unasema hauko sehem salama?
Hebu nenda kaiambie Familia ya Marehemu Mzee Ally Kibao huo upuuzi uone kama utarudi na hiyo sura.
 
20241220_001805.jpg
 
Nikikuita wewe ni zwazwa, kilaza na mfitini nitakuwa nimekosea!!??

Kwa mujibu wako ni kuwa tatizo kubwa la chama lipo kwenye uzi wako wa post namba moja, sasa inakuwaje jibu liwe kwenye maelezo mengine!!???

Hebu jipige makofi huku ukijiambiaa, " hakika mimi DR Mambo Jambo ni zwazwa kubwa".
Unafahamu Maneno anayotukana NTOBI mitandaoni anavyomtukana TAL/TL Kaagizwa na Mwenyekiti?
20241220_001805.jpg

Screenshot_20241220_002736_X.jpg


Siku Nyingije usiwe Unabusha Kitu usichokijua Sasa Niambie Hapo anayesema Ana Emotional Kidogo ni nani??
 
Alipokuwa mwenyekiti wa kanda alisitishiwa hadhi yake ya ukimbizi kwa muda sio?!
 
Maneno Hayo Ameyasema Aliyekuwa Kiongozi wa Kanda ya Kaskazini Mheshimiwa Godbless lema..
Baada ya Kuandila Barua Katika Ukurasa wa Twitter Yenye Messeji kali Sana na Ya Kuhuzunisha na Ikionyesha Kuna TATIZO KUBWA kwenye Chama..

NANUKUU:-

Amani Katibu wetu wa Kanda , naomba nisomee ujumbe huu kwa viongozi wenzangu katika mkutano huu wa Kanda ambao utaitimisha nafasi yangu kama Mkti wa Kanda leo hapa Arusha.

Waheshimiwa Viongozi Tanga , Manyara,Kilimanjaro na Arusha , ninasikitika kwamba sitaweza kuwa nanyi ktk mkutano wa leo muhimu sana ktk chama chetu Kanda ya Kaskazini. Nilisafiri kuja kumuona mke wangu mpendwa na watoto na kupumzisha akili yangu kidogo kwani niliona ninapaswa kufanya hivyo kwa ajili ya amani kubwa ya moyo wangu.

Leo mtachagua Kiongozi wa Kanda yetu ya Kaskazini na kama ningekuwepo ningepiga kura lakini bahati mbaya sitaweza kupiga kura wala kuwasikiliza lakini kama naweza kupiga kura kidgitali pls nitafurahi kufanya hivyo , hata hivyo ninakiri kuona na kusikia majina ya wagombea wote mliomba nafasi ktk uchaguzi huu , sina maoni yoyote kwa wakati huu , japo kuwa najua nani ningempa kura kama ningekuwa hapo na nani asingestahili kwa upande wangu.

Nimekuwa kwenye kazi ya harakati kwa miaka zaidi ya ishirini , sijawahi ku fake the struggle na niko commited very seriously , kwani nimezika na kuuguza rafiki zangu wengi kwa ajili ya wajibu mwema wa kupigania haki na ustawi wa Nchi yetu , hivyo najali sana uadilifu wa kazi hii , lakinj pia nimepigwa kwa ajili yake , nimekwenda Polisi na Mahabusu na mahakamani mara nyingi sana na pia kuishi ktk upweke na majonzi mara nyingi sana kwa ajili ya wajibu huu mkuu lakini sijawahi kujuta kwani naona ili ni kusudi muhimu ktk maisha yangu na yetu wote.

Nafahamu Mimi sio Malaika naelewa ninaweza kuwa nimewaumiza au kuwakwaza watu wengi miongoni mwenu lakini ninaweza kula kiapo kwa mauti ya familia yangu kuwa sijawahi hata siku moja kuwaza hila juu ya mmoja wenu zaidi ya kujali pengine ubora na mkakati ktk kuimarisha kazi hii muhimu ambapo wkt mwingine imeleta mtafaruku mkubwa miongoni mwetu.

Viongozi mtakao chaguliwa leo , lindeni sana nidhamu ya Kanda yetu , Mwenyekiti mwingine na Kiongozi yoyote wa ngazi yoyote asitukanwe wala kudhalishwa kwa maana matusi na dhihaka zinaua sana morali ya kuwajibika. Pengine ni udhaifu kukimbia changamoto lakini vile vile ni hekima kuwaonyesha rafiki zako na maadui zako kuwa Leadership is not a Title, ili sote tujue kwamba kazi yetu ni utumishi na sio prestige.

Ninawatakia kila la heri ktk uchaguzi wenu , mfanye kwa amani na upendo kila mtu ajue kuwa ashindani na shetani isipokuwa rafiki zetu miongoni mwetu.

Namalizia kwa kusema maazimio yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni “ No reforms No Election “Maana yake ni kuzikana nafsi zetu kwa ajili ya kesho bora , hivyo baai mnahitaji Kiongozi atakaye waongoza ktk wajibu huu mkuu .Mkiwa Arusha siku zote tambueni kuwa mna ndugu yenu ktk FIKRA na WAJIBU MWEMA.

Naomba nimalizie kwa kusema maneno Haya , Amani Golugwa wewe ni best Katibu na a very good humble brother , Mungu akubariki sana. Mungu atakuinua siku moja zaidi na zaidi.

View attachment 3180467View attachment 3180468View attachment 3180469

View attachment 3180608
#Godbless Lema..#X
Huyu ntobi kafanya makosa makubwa sana
 
NO reforms no election,mbowe usiwachanganye watanzania tafadhari achana na wenyekiti nenda kwenye biasharaza zako
 
Unafahamu Maneno anayotukana NTOBI mitandaoni anavyomtukana TAL/TL Kaagizwa na Mwenyekiti?
View attachment 3180609
View attachment 3180614

Siku Nyingije usiwe Unabusha Kitu usichokijua Sasa Niambie Hapo anayesema Ana Emotional Kidogo ni nani??
Una matatizo ya uelewa finyu na kutoweza kujenga hoja.
Msingi wa swali langu ni bandiko lako la awali,wewe unaleta mambo mengine kuhalalisha kitu ambacho hakipo kwenye bandiko lako la kwanza.

Umejiona ulivyo kilaza!!??
Nimemaliza,sitakujibu tena.
 
Namalizia kwa kusema maazimio yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni “ No reforms No Election “Maana yake ni kuzikana nafsi zetu kwa ajili ya kesho bora , hivyo baai mnahitaji Kiongozi atakaye waongoza ktk wajibu huu mkuu .Mkiwa Arusha siku zote tambueni kuwa mna ndugu yenu ktk FIKRA na WAJIBU MWEMA.✌🏾
MMEANZA KUNYOOKA MAKONDA TU KAANZA KUWAKIMBIZA NA BADOOO
 
W
GOOD TEAM WORK YA CCM IMEKABA, HAWAHEMI HAWAPUMUI, 😀😀😀
""LEMA asepa, asema toka Makonda aingie arusha kama mkuu wa mkoa chadema imekufa, amebainisha ni heri awache siasa na ashughulike na mambo mengine ya kumuingizia kipato halali ""
AMEANZA KUNYOOKA
 
Back
Top Bottom