Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

Ungeweza Bei yake?
 
HUYO MWEHU TUH KAMA WEHU WENGINE,AMWAMBIE MWENYEKITI WAKE WA KUDUMU HAPO CHAGADEMA AWAONDOE KWANZA COVID-19 PALE BUNGENI KAMA ANAWEZA.
 
Kawadange bavicha wenzako.
 
Huyo wa kuchagua lema kuwa rais si lazima atakuwa kichaa? Au anadhani watanzania wote ni hamnazo kama yeye mpaka tumchague kuwa rais ?!
Kama Samia ameweza kuwa rais wa nchi, Lema si anaweza kuwa rais wa dunia? CCM wametuweza kweli kweli leo tunajikuta kibibi kama hiki eti rais. Kichwani ni kweupe pee, ninawaza mambo ya sherehe muda wote. Ngoja tu kama niliyosikia ni kweli basi 2025 hakitoboi.
 
Rais ana mamlaka ya kuondoa hoteli popite zilipo?
Kwa Tanzania, NDIO ana mamlaka. Ni wapi ambapo Rais hana mamlaka ya kuamua katika nchi hii? Kama mpaka Majaji na jaji Mkuu ambaye yupo kwenye Muhimili tofauti anamteua yeye
 
Kwa hiyo uchumi unaendeshwa kwa kuuza nchi kidogo kidogo mwishowe utajiuza wewe mwenyewe kama sio chumba unacho lalia
WHataboutism hazisaidii hapa.Lema amesema hoteli zote ziondolewe mbugani, hizo hoteli wameuziwa na mbuga au wana leseni ya ku-operate hapo? Unachanganya mafaili au uzee ushakukaribia kolo ww
 
Unawapa za ndani sana na hawataki kukuelewa. Haha
 
WHataboutism hazisaidii hapa.Lema amesema hoteli zote ziondolewe mbugani, hizo hoteli wameuziwa na mbuga au wana leseni ya ku-operate hapo? Unachanganya mafaili au uzee ushakukaribia kolo ww
Sheria na taratibu zinawekwa Kwa sababu, kama kuweka bar mashuleni au hospitalini, ukasema sio mahali pake, ikiwa kuweka hotel huko kuna haribu mazingira au njia za wanyama, basi tufuate taratibu. Bila kujali hayo mambo ya uchumi. Kuna mambo mangapi tunaambiwa sivyo sababu ya mambo ya mazingira. Tumia akili yako Kwanza kabla hujawa kolo
 
Kwa akili yako unadhani kila mpango wa Wajerumani ulikuwa sahihi?
 
bila kujua historia hauwezi kuelewa ulipo na unapoenda, mambo mengi sana mnadanganywa kwa sababu hamuijui historia, karibia 1/4 nzima ya tanzagiza ni hifadhi kwa nini? Mzungu angekuwa anatwala leo hii asingeruhusu huo ujinga …
Acha kukaririshwa ujinga, umesoma kitabu gani cha historia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…