Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

Kwake Lema ulinzi wa IKOLOJIA mintaarafu ya hapo Ngororongo wala si muhimu.....

Hivi madola yasingeweka sheria juu ya kulinda hifadhi za WANYAMAPORI ,hali ingelikuwaje hivi leo ?!!![emoji44][emoji44]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Usimuwekee maneno mdomoni! Hoja muhimu hapa ni serikali kupunguza ujenzi wa mahoteli makubwa hifadhini ili kupunguza influx ya watu ambao mwisho wa siku wanachafua na kuharibu mazingira! Mahoteli makubwa yanaweza kujengwa pembezoni mwa hifadhi.
 
Hoteli na Lodges ni muhimu Mbugani, lakini lile wazo la kuchimba Madini Mbugani HAPANA!
 
Back
Top Bottom