Kajinga hako kaacheni hakajui resort na camp maana yake.Rais ana mamlaka ya kuondoa hoteli popite zilipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajinga hako kaacheni hakajui resort na camp maana yake.Rais ana mamlaka ya kuondoa hoteli popite zilipo?
Nimemkuta kada mmoja chadema,nikamuuliza mbona hamna plan B kuwezesha vijana,kuleta maendeleo,mnacheza na kupinga tuu,jamaa akanikimbia.SAsa hapa Chadema ndio wanapobugi, unadhani huu uchumi unaendeshwa kwa sigara na pombe?
Mbona Lema yuko vizuri sana sana kuliko binti kiziwiHuyo wa kuchagua lema kuwa rais si lazima atakuwa kichaa? Au anadhani watanzania wote ni hamnazo kama yeye mpaka tumchague kuwa rais ?!
Sasa we mburumundu na kusujudia Uchawa utaona wapi ...njoo nikupe ofa nikusombe mpaka Serengeti night 3 ujioneeChadema bana, jinsi walivyo, kila utumbo wa kiongozi wao lazima wauone ni ujumbe safi kabisa l
Sidhani kama anachosema ni kitu mwafaka. Mbona upande wa Maasai Mara kwa wenzetu Kenya kuna mahoteli ya kitalii zaidi ya 50 na maisha ya wanyama hayako hatarini.Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.
Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro.
Soma Pia: Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro
Maana hapo kwanza nicheke...Kama Samia ameweza kuwa rais wa nchi, Lema si anaweza kuwa rais wa dunia? CCM wametuweza kweli kweli leo tunajikuta kibibi kama hiki eti rais. Kichwani ni kweupe pee, ninawaza mambo ya sherehe muda wote. Ngoja tu kama niliyosikia ni kweli basi 2025 hakitoboi.
Huna akili wewe acha kuota ndoto za alinacha wajerumani hawajawahi kualika makaburungorongoro iko overrated sana, kwanza wakati wa ukoloni wa Ujerumani (waanzilishi wa nchi yetu) walipanga kuwaleta boers (makaburu) ktk south afrika waje kusettle kwenye crater na kufanya ufugaji na kilimo vita kuu ikaingilia kati bila ya hivyo leo hii hiyo crater ingekuwa kama western cape au switzerland vile kwa maendeleo, tungekuwa tunaongoza kutengeneza na kuuza cheese, dairy products na chocolates za kufa mtu …
Aliiba gari la nani?Huyu mwizi wa magari wa Arusha leo anashauri utalii ,nchi ya ajabu sana hii
USSR
Huna akili wewe acha kuota ndoto za alinacha wajerumani hawajawahi kualika makaburu
Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA hata siku moja. Kusema kibibi Samia hafai kuwa rais siyo lazima uwe upinzani. Ni kutumia akili tu.Maana hapo kwanza nicheke...
Maajabu ya CHADEMA kumcheka CCM Kwa kuwa na RAIS Bora kama Samia ambae kawapa Ruksa ya kufanya Demokrasia,na wao wakijiskia Proud kuwa na Mwenyekiti au RAIS Form Four Failure kama Freeman Mbowe.
Kama mlivyomuona Jiwe ni MTU wa maana basi hakuna Fala yule hata kidogo kumfanya Samia awe Makamu wake we Bavicha.
Hakukuwa na plan ya ku settle ngorongro kreta isopokuwa baadhi ya maeneo kama kando ya Miloma Meru na maeneo ya Oldeani na Mang'ola na hadi leo kuna majengo na mashamba ya settlers na maeneo hayakuwa hifadhi so acha kupotosha kama hauna taarifa. Eneo lingine ni lushoto ambao settlers walipelekwasoma historia vizuri huo ulikuwa ni mpango wa kuleta settlers kuja kusettle arusha kama vile waingereza walivyo settle upande wa pili wa valley kenya na kulima na kufuga leo kenya wanatuzidi kwa kiasi kikubwa kwenye agriculture na dairy products yote inatoka rift valley ya upande wa kenya ambapo kwetu rift valley ambayo the most fertile region in afrika ni hifadhi, kwanza unajua hata kwamba moshi ya leo ilikuwa inaitwa arusha chini? yaani kulikuwa na arusha juu ambayo ni arusha ya leo na moshi ya leo iliitwa arusha chini au upper and lower arusha kama ukipenda, kulikuwa na mipango kabambe na maendeleo ya kufa mtu sema vita iliingilia kati, hawa wazungu wote ni ndugu vita huwa inawazingua tu waonekane ni maadui lkn siyo kiivyo hata wao wanachonganishwa pia…
😂😂😂 hio heading nilivyosoma nimechoka wallaiHuyo wa kuchagua lema kuwa rais si lazima atakuwa kichaa? Au anadhani watanzania wote ni hamnazo kama yeye mpaka tumchague kuwa rais ?!
Sidhani kama Kenya ndiyo yard stick yetu, wamekosea kwa hiyo sisi tusifanye makosa yale yale.Sidhani kama anachosema ni kitu mwafaka. Mbona upande wa Maasai Mara kwa wenzetu Kenya kuna mahoteli ya kitalii zaidi ya 50 na maisha ya wanyama hayako hatarini.
Hakukuwa na plan ya ku settle ngorongro kreta isopokuwa baadhi ya maeneo kama kando ya Miloma Meru na maeneo ya Oldeani na Mang'ola na hadi leo kuna majengo na mashamba ya settlers na maeneo hayakuwa hifadhi so acha kupotosha kama hauna taarifa. Eneo lingine ni lushoto ambao settlers walipelekwa
Kwake Lema ulinzi wa IKOLOJIA mintaarafu ya hapo Ngororongo wala si muhimu.....Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.
Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro.
Soma Pia: Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro
[emoji7]Sidhani kama anachosema ni kitu mwafaka. Mbona upande wa Maasai Mara kwa wenzetu Kenya kuna mahoteli ya kitalii zaidi ya 50 na maisha ya wanyama hayako hatarini.
Bahati nzuri itabaki kuwa ndoto. Haiwezeken Lema ukawa rais, Labda wa TAGMwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.
Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro.
Soma Pia: Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro