Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

Usimuwekee maneno mdomoni! Hoja muhimu hapa ni serikali kupunguza ujenzi wa mahoteli makubwa hifadhini ili kupunguza influx ya watu ambao mwisho wa siku wanachafua na kuharibu mazingira! Mahoteli makubwa yanaweza kujengwa pembezoni mwa hifadhi.
 
Hoteli na Lodges ni muhimu Mbugani, lakini lile wazo la kuchimba Madini Mbugani HAPANA!
 
Kwahy watalii walale mjini afu wafunge safari kwenda porini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…