Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

Mkuu Mbangaizaji wa Taifa, kwanini unakuwa muongo kiasi hiki? Wewe ni mmoja wa viwanda vya uongo hapa nchini? Kichwa chako cha habari unasema:

Godbless Lemma: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake​


Sasa, wapi kwenye taarifa ya Lema amesema ulivyoandika kwenye kichwa chako cha habari? Wapi amesema anataka kujibu maigo? Wapi amemtaja Wenje? Uongo ni dhambi ujue...
 
Huyo Mngeze lema atulize matacle yake sio Kila saa kuropoka tu na kubweka kama Ng'ombe jike aliye Kosa dudu!
Mbowe kamsaidia sana Ila Tangu atoke 🍁 mdomo hautulii Ana wivu na pesa za mwenyekiti
Lema maandazi kweli Heri mtori kuliko Huyo jamaa
 
Wewe umeshawahi.kuwa mwandishi wa habari?
 
Safi Lema.

Lema alionya juzi kwamba machawa wa mbowe wakimjibu tu ataitisha press amfyatue Mbowe vizuri.

Msigwa pia amesema ataitisha press conference soon na ushahidi wa kutosha kuhusu Wenje na Mbowe.

Yaani wanapiga kwenye mshono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…