Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

Huyo Mngeze lema atulize matacle yake sio Kila saa kuropoka tu na kubweka kama Ng'ombe jike aliye Kosa dudu!
Mbowe kamsaidia sana Ila Tangu atoke 🍁 mdomo hautulii Ana wivu na pesa za mwenyekiti
Lema maandazi kweli Heri mtori kuliko Huyo jamaa
Nyumbu wa Sultan Mbowe tulizeni vishundu mumeyataka wenyewe,yeye huyo dalali wa kijaluo nani hata asijibiwe?
 
Wazee wa Mapigo na Mwendo -- ila usisahau ukichoongea majuzi tumekurecord we jichanganye maana matamko yamezidi wakati ukweli upo wazi kabisa.
 
Sisi Wananchi wa Tanzania tunataka style hii ya siasa kutoka CHADEMA, waongee kwa UWAZI na UKWELI halafu watuachie sisi WANANCHI tuamue.

Sio Siasa za GIZANI za CCM kufichaficha hata pale CAG naposema fedha zimeporwa halafu CCM wanafichaficha na kiwasahaulisha Wananchi.

Tunataka Waropokaji LISSU HECHE
 
Sisi Wananchi wa Tanzania tunataka style hii ya siasa kutoka CHADEMA waongee kwa UWAZI na UKWELI halafu watuachie sisi WANANCHI tuamue.

Sio Siasa za GIZANI za CCM kufichaficha hata pale CAG naposema fedha zimeporwa halafu CCM wanafichaficha na kiwasahaulisha Wananchi.
Utoto wa namna hii pelekeni huko huko kwenye Saccos yenu. Ndio maana Mzee Duni Mgombea Mwenza wa Lissu 2020 alisema Chadema kila mtu ni kambale na kweli imedhihirika mwaka huu. Kuwapa nchi muongoze msahau kabisaaa!!
 
Halafu eti Watz wakipe chama hiki kuendesha nchi kweli!!? Utoto mwingi sana.
Nahisi CCM wanawachezeshwa kibao kata na hizi press za Chadema😂😂

Jambo la CCM ni kama halipewi kipaumbele hivi

Au nyie mnaonaje maana wameanza kukusanyika dodoma lakini ni kama wanafunzi vile wanarudi shule watu hata hawastuki.
 
Utoto wa namna hii pelekeni huko huko kwenye Saccos yenu. Ndio maana Mzee Duni Mgombea Mwenza wa Lissu 2020 alisema Chadema kila mtu ni kambale na kweli imedhihirika mwaka huu. Kuwapa nchi muongoze msahau kabisaaa!!
Hebu waulizeni Wananchi ni style gani wanaitaka hii ya CHADEMA ya UWAZI na UKWELI, au style ya CCM ya mambo GIZANI halafu muone Wananchi wanataka nini?
 
Hebu waulizeni Wananchi ni style gani wanaitaka hii ya CHADEMA ya UWAZI na UKWELI au style ya CCM ya mambo GIZANI halafu muone Wananchi wanataka nini?
Labda wahuni wahuni na ambao wahajui kesho yao. Mambo ya kushambuliana kwenye public ni kukosa hekima na busara. Wapigakura wenye hekima na busara hawawezi kuwapa kura. Ndio maana hata kwenye familia baba na mama hawatakiwi kugombana au kushambuliana kwenye public hiyo ndio hekima.
 
Back
Top Bottom