Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

Kesho si ndo Leo? LEMA jitokeze basi!

Nikizijua Siri za mtu! Haijalishi anatikera kiasi Gani. Sitatoka adharani kuzisema!

Maana maisha yanatabia ya ajabu sana! Inaweza kukujengea mazingira ya kutokuaminiwa na watu wengine

Maana wataogopa siku ukipishana nao utawatangaza

Ila Lema njoo tukusikie! Si umesema unatumwaga na Mungu? Nataka nikusikie na Leo Mungu amekutuma nini
 
Demokrasia imepanuka sana ndani ya CHADEMA! hakuna kuumizana bali hoja zinajibiwa na hoja👌🏿💪🏿 tuhuma zinajibiwa na ithibati
Demokrasia ya kutukanana kama vichaa au?
 
Back
Top Bottom