Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenje ni mjinga sana na sijui kwa nn vijana wanajisahau namna hii na kuongea ongea ujinga ujinga tu.View attachment 3203510
View attachment 3203660
View attachment 3203661
Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje.
Pia soma
- Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA
- Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA
- Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali
Mjinga ww usiyejua hata yaliyokikuta chama hapo nyuma nenda kalale ukiamka utapata kumbukumbu.Lema na Lisu wanapaswa wafukuzwe haraka.
Hawa ni waaasi hawafai hata kidogo
Ukumbi bado hatujaupata?Ndondi za maneno na ufichuaji mikwega iliyotoboka kuendelea hapo kesho.
Tulieni mpikwe.Huyo Mngeze lema atulize matacle yake sio Kila saa kuropoka tu na kubweka kama Ng'ombe jike aliye Kosa dudu!
Mbowe kamsaidia sana Ila Tangu atoke 🍁 mdomo hautulii Ana wivu na pesa za mwenyekiti
Lema maandazi kweli Heri mtori kuliko Huyo jamaa
Tuvute subra inshaallah!Ukumbi bado hatujaupata?
Upuuzi tu.View attachment 3203510
View attachment 3203796
View attachment 3203797
===
Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje.
Hii inaitwa Jino kwa Jino.
Pia soma
- Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA
- Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA
- Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali
Kwa maadili ya siasa za kitanzania hawafaiLema na Lisu wanapaswa wafukuzwe haraka.
Hawa ni waaasi hawafai hata kidogo
Yote haya kayataka Sultan Mbowe kutuma hawa vidampa wake wachokoze watu.View attachment 3203510
View attachment 3203796
View attachment 3203797
===
Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje.
Hii inaitwa Jino kwa Jino.
Pia soma
- Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA
- Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA
- Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali
Wewe nani wa kunyamazisha watu,wacheni dalali Wenje ashughulikiwe yeye ndiye chanzo cha matatizo yote haya nyie wengine mumekalia kumshabikia tu Mbowe hamjui yaliyoko nyuma ya pazia,ngoja Lemma apasue hilo buyu.Utaongea nini wewe kaa kimya - kumbe mlitaka kumpindua Mbowe akiwa gelezani laah binadamu jamani hana wema.
Bora apewe kura yule oderoLabda wahuni wahuni na ambao wahajui kesho yao. Mambo ya kushambuliana kwenye public ni kukosa hekima na busara. Wapigakura wenye hekima na busara hawawezi kuwapa kura. Ndio maana hata kwenye familia baba na mama hawatakiwi kugombana au kushambuliana kwenye public hiyo ndio hekima.
Aliwekwa gelezani kwa sababu ya ugaidi hata Samia alieleza kwenye mahojiano ya BBC Mbowe nigaidi ...sasa kunashida kumpindua gaidiUtaongea nini wewe kaa kimya - kumbe mlitaka kumpindua Mbowe akiwa gelezani laah binadamu jamani hana wema.
Demokrasia imepanuka sana ndani ya CHADEMA! hakuna kuumizana bali hoja zinajibiwa na hoja👌🏿💪🏿 tuhuma zinajibiwa na ithibatiView attachment 3203510
View attachment 3203796
View attachment 3203797
===
Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje.
Hii inaitwa Jino kwa Jino.
Pia soma
- Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA
- Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA
- Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali
Na bado ndani ya siku 3 zijazo yataibuliwa mambo magumu sana.Patamu sana, mwendo ni press tu, mara yule mama, mara sijui nani, mara lema tena. All in all tieni kura kwa Lissu