TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Press za mfululuzo hazinogi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana Katibu mkuu Chadema kutoa ufafanuzi kuhusu join the chain.View attachment 3203510
View attachment 3203796
View attachment 3203797
===
Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje.
Hii inaitwa Jino kwa Jino.
Pia soma
- Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA
- Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA
- Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali
Tupeni maneno hukoNdondi za maneno na ufichuaji mikwega iliyotoboka kuendelea hapo kesho.
Demokrasia ya kutukanana kama vichaa au?Demokrasia imepanuka sana ndani ya CHADEMA! hakuna kuumizana bali hoja zinajibiwa na hoja👌🏿💪🏿 tuhuma zinajibiwa na ithibati