Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

Sukuma gang naona unampinga mama Samia
 
Sio swala la upepo Ni swala la hoja inayokubaliwa na wananchi walio wengi.Chadema kinarudi kwenye hoja za Msingi Lema ameanza kuonyesha njia Kama Dk Slaa alivyokuwa.Mimi CCM namuunga mkono hoja yake
Nakuona maji yamekushika hadi shingoni
 
Na hii tabia ya kushangaza naiona Tanzania tu, viongozi waliopo madarakani kushindwa kutekeleza wajibu wao na badala yake zigo lote wanamtwisha marehemu. Nchi zilizo staarabika raia hawawezi kuuvumilia huu utapeli.
Tumfukue marehemu
 
Yaani ushindwe maisha uanze kumsingizia babaako marehemu! The world is full of opportunities na wewe unajiita hivo kwa nini unashindwa kujua hilo! Unafikiri watanzania ni wajinga!

Huu uongozi wenu wa mazuzu mtakumbuka shuka kumekucha! Nikuulize kitu kwa nini wakati wa kikwete umeme ulikuwa unakatika sana baada ya kuingia Magufuli haukukatika kwa kiwango kikubwa na vipi tena kafariki umeme tumerudi kule kule au kipindi cha Kikwete walikuwa wanafanya maintenance?
 
Unajibu hoja au unajamba na kuharisha upumbavu uliojaa kichwani kwako...
Wewe pimbi una akili? watu tunajadili kwa hoja unaleta umbea hapa! Hiyo miradi ya gesi ambayo mkuu wa kundi lenu fisadi msoga alikuwa kashainajisi na haina tija mpaka leo!

Mradi wa gesi ya mtwara unatija gani zaidi ya mapambio kama mnayopiga saizi! Nenda katawaze kwanza mk..ndu msenge wewe ndo uje hapa umejipanga! Unaongozwa na chuki tu huna hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…