Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

Hapo kwenye msalimie sana YESU ndo alipojichoma mwenyewe.
 
Lema sahivi anajishughulisha na nini? Tukiona tu wizi wa magari umerudi hapa Arusha tunaanza nae
Kama ni mwizi wa magari mpeleke Mahakamani. Wewe hapa jibu hoja sio kumshambulia bila kuwa na hoja.
 
Anaelekea kuangukia pua huyu jamaa, mzee wa kutabiria wenzake vifo.
 
Katika watu wanafiki Lema Yumo anataka askofu WA kanisa asilosali dhehebu tofauti na lake atoe tamko Kwa nini hajataka askofu WA kanisa lake analosali atoe tamko?
 
Kumbuka Lema ni .tu anayepitia kipindi kigumu mke anapigwa baridi Canada yeye yupo Arusha
 
Mimi nilivyo elewa Lema anamwamini Yesu kuliko wewe. Mwombe radhi Yesu ni rafiki yetu anatembea na sisi sote.
 
Lema yupo sahihi kabisa.Ulimsikia askofu waRC kule mbulu mbele ya mgeni rasmi mwigulu.
 
Duh...mshazoea nini kusifiasifia
Huku moyoni mnaugulia

Ova
 
Kwani uongo kuwa Malasusa ni kibaraka hatari wa serikali ya CCM?
 
Bado nahangaika kutafuta tusi alilotukana Lema kwa Malasusa..
 
Lema yupo sahihi kabisa.Ulimsikia askofu waRC kule mbulu mbele ya mgeni rasmi mwigulu.
Askofu wa Kanisa La Lema abalosali umemsikia akiongea chochote cha Ngorongoro?

Lema hana ujasiri kumwambia Askofu wake atoe tamko ujasiri hana na haji kuwa nsi ndio maana anadandia maaaskofu wasio wa kanisa lake anasali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…