Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #81
Nawe ulivyo mjinga mjinga kupindukia usiye na IQ ya kukutosha wala huoni wapi nimeeleza siasa za kijinga kama mjinga mwenzenu.Kukemea uovu ni siasa? Huu ni ujinga mno mno. Ujinga wa hali ya juu.
Hivi,gari lilivyokua kubwa,unaibiwaje?Lazima mna mtindio wa akili.Lema sahivi anajishughulisha na nini? Tukiona tu wizi wa magari umerudi hapa Arusha tunaanza nae
Ninyi vilaza kwani Malasysa ni papa?Kukemea uovu ni siasa? Huu ni ujinga mno mno. Ujinga wa hali ya juu.
Huyo bado ana tabia za kiwiziwizi.Lema sahivi anajishughulisha na nini? Tukiona tu wizi wa magari umerudi hapa Arusha tunaanza nae
ukimsikiliza lema ni kama anakulaga kijiti cha arushaView attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."
Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.
Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Mbona huwa mnasema salamu Maria. Hv unasali? Kamtukana Yesu? Au kataja aina ya salamu? Yule aliyeimba wimbo akasema shikamoo Yesu ulishamuonya? Tengeneza maneno yenye point umkosoe mtu. Kama hoja zimeisha soma za wenzio na usichangie.View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."
Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.
Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
Kama ni mwizi kamkamate haujui kwake tukupeleke? Halafu unapotaja fulani mwizi, Malaya, mlevi evidence mhimu. Usitengeneze hoja ya kumharibia mtu kwa maneno ya kuambiwa na watu halafu na wao hawajakuonesha ushahidi. Be careHuyo bado ana tabia za kiwiziwizi.
Mwizi akijua anafuatiliwa si mbio hizo.
Hata sasa machale yakimcheza huyoooo Canada.
Nape je?ukimsikiliza lema ni kama anakulaga kijiti cha arusha
Kama umezaliwa kijijini lazima ushangae ukiskia kuna wizi wa magariHivi,gari lilivyokua kubwa,unaibiwaje?Lazima mna mtindio wa akili.
Kumbe ina watuoch mwizi kuumbuliwa?Kama ni mwizi kamkamate haujui kwake tukupeleke? Halafu unapotaja fulani mwizi, Malaya, mlevi evidence mhimu. Usitengeneze hoja ya kumharibia mtu kwa maneno ya kuambiwa na watu halafu na wao hawajakuonesha ushahidi. Be care
Tatizo langu ni dogo kuliko mnao mshabikia mwizi wa magari.Utakuwa na mtindio wa ubongo wewe si bure
Mkuu hawa waliokulia mazingira magumu utawajua tu!Huwezi kutoa salamu kwa dhihaka namna hiyo eti msalimie fulani kana kwamba wanakaa nyumba au mtaa mmoja,
Tujiepushe kutoa salamu kwa dhihaka halafu tunajifanya hakuna kosa
Ukweli usemwe
Tuhuma zinatosha kmwingiza mtu kundi ovu. Polisi hawaoni kila kitu.Kama ni mwizi wa magari mpeleke Mahakamani. Wewe hapa jibu hoja sio kumshambulia bila kuwa na hoja.
Afadhali.Ngoja nikachunge punda wangu tu.Kama umezaliwa kijijini lazima ushangae ukiskia kuna wizi wa magari
hahahaaa nape ni msema kweli ukweli wake ulimponza akatumbuliwaNape je?
Kama kiburi hukioni tusi utalionaje?mbona hatuoni tusi