Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

Kumbe siku hizi kuwashauri na kuwaomba watumoshi wa makanisa kukemea maovu katika jamii nikuwatukana?. Hizo ndizo kazi zao hao wasisubiri kuambiwa.

Lema mafanya vizuri na mungu ameona juu ya kiongozi wa kanisa asiyejali waumini wake.
 
Lema sahivi anajishughulisha na nini? Tukiona tu wizi wa magari umerudi hapa Arusha tunaanza nae
Huyo bado ana tabia za kiwiziwizi.
Mwizi akijua anafuatiliwa si mbio hizo.
Hata sasa machale yakimcheza huyoooo Canada.
 
View attachment 3077975
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.

Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,

"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea vizuri kiasi na watu wanaendelea kusubiri TAMKO la Kanisa unaloliongoza wewe juu ya ukatili mkali huko NGORONGORO na Utekaji na utesaji dhidi ya raia. Msalimie sana YESU."

Hiki ni kiburi.
Namshauri Lema kwa ukurasa huo huo aombe radhi kwa kuwaona watumishi wa Kanisa kuwa political sparring partners.
Mbaya zaidi kulifedhesha na kudhihaki Jina lipitalo majina yoye, YESU.

Asipofanya hivyo hizo salamu anazozitafuta atazipata, na si muda mrefu.
ukimsikiliza lema ni kama anakulaga kijiti cha arusha
 
Mbona huwa mnasema salamu Maria. Hv unasali? Kamtukana Yesu? Au kataja aina ya salamu? Yule aliyeimba wimbo akasema shikamoo Yesu ulishamuonya? Tengeneza maneno yenye point umkosoe mtu. Kama hoja zimeisha soma za wenzio na usichangie.
 
Huyo bado ana tabia za kiwiziwizi.
Mwizi akijua anafuatiliwa si mbio hizo.
Hata sasa machale yakimcheza huyoooo Canada.
Kama ni mwizi kamkamate haujui kwake tukupeleke? Halafu unapotaja fulani mwizi, Malaya, mlevi evidence mhimu. Usitengeneze hoja ya kumharibia mtu kwa maneno ya kuambiwa na watu halafu na wao hawajakuonesha ushahidi. Be care
 
Kumbe ina watuoch mwizi kuumbuliwa?
Sasa sijui yeye anapata wapi ujasiri wa kumtaka Askofu afuate ushauri wa mwizi.
Nanyi kizazi cha nyoka msiojua mema na mabaaya mwaona sawa tu.
 
Brian deacon ametulia zake huko , Nyie mnahangaika huku..

Ametumia hekima kubwa kuonyesha unafiki wa viongozi wa dini ..
 
Huwezi kutoa salamu kwa dhihaka namna hiyo eti msalimie fulani kana kwamba wanakaa nyumba au mtaa mmoja,

Tujiepushe kutoa salamu kwa dhihaka halafu tunajifanya hakuna kosa

Ukweli usemwe
 
Kama ni mwizi wa magari mpeleke Mahakamani. Wewe hapa jibu hoja sio kumshambulia bila kuwa na hoja.
Tuhuma zinatosha kmwingiza mtu kundi ovu. Polisi hawaoni kila kitu.
Halafu mwizi anamlaumu Askofu!
Kweli wezi mna umoja!
 
Msululu wa makanisa na watumishi wa Mungu wa mchongo ni tisi kubwa sana kwa ukristo unashindwa kuanzisha vita zidi ya makanisa na wachungaji matapeli wanaofanya wizi kwa kutumia jina la Yesu
Unakuja kuleta siasa za kumlaumu lema
Km kwel unampenda Mungu unampenda Yesu na unaupenda ukristo bas ungeanzisha vita na makanisa ya kitapeli yalojaa na kutapakaa tanzania nzima
Masanja mchungaji
Mc pilipili mchungaji
Ireno uwoya mchungaji
Acha siasa
 
Back
Top Bottom