Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa.

Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025.

Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo hii 2023.

Karibu.

20230131_202939.jpg
 
Nimeisoma huu waraka wa CHADEMA kuhusu ujio wa Mh.Lema, sijaona popote walipoandika anarudi kufukuzia ubunge, unless wewe mtoa hoja ni msemaji wa Mh.Lema ambaye ni kama lose Canon, maana tamko la CHADEMA ndio tamko rasmi,na wewe unatuambia kuhusu ubunge !,pls mkuu Linda hadhi yako
 
Hivi kumbe ukikimbia nchi siku unarudi unaitwa mheshimiwa ! Maskini nchi yangu TANZANIA !
 
Nimeisoma huu waraka wa CHADEMA kuhusu ujio wa Mh.Lema, sijaona popote walipoandika anarudi kufukuzia ubunge, unless wewe mtoa hoja ni msemaji wa Mh.Lema ambaye ni kama lose Canon, maana tamko la CDM ndio tamko rasmi,na wewe unatuambia kuhusu ubunge !,pls mkuu Linda hadhi yako
Lema hawezi kushinda Mbunge tena
 
Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa.

Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025.

Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo hii 2023.

Karibu.

View attachment 2501734
Karibu kamanda
 
Back
Top Bottom