ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Wee fala kwan hofu yako ni nini?? Tulia ukiliweka tako juu dawa ikuingie.Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa.
Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025.
Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo hii 2023.
Karibu.
View attachment 2501734
Uyo Gambo mpaka sasa kafanya nini zaid ya malumbano tu??
Hacha democracy ichukue nafasi