SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo mjinga ni Sukuma Gang na anahofia ujio wa Lemma kwa vile yeye huo ubunge alipewa tu na yule mwovu aliyeko motoni lakini kikipigwa tena kwenye uchaguzi huru na haki Lemma atamgaragaza sana.uliyepost habari si mwanachaddma ila mamluki