Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ccm mnahangaika sana.
Akiukosa ubunge wewe kinakusumbua nini?
Mbona hata sasa anaishi bila ubunge?
Wewe shahawa aaah samahani chawa upo?Eeeeh acha mwenzenu anene..
🍿🤣🤣🤣
Lema hawezi kushinda Mbunge tenaNimeisoma huu waraka wa CHADEMA kuhusu ujio wa Mh.Lema, sijaona popote walipoandika anarudi kufukuzia ubunge, unless wewe mtoa hoja ni msemaji wa Mh.Lema ambaye ni kama lose Canon, maana tamko la CDM ndio tamko rasmi,na wewe unatuambia kuhusu ubunge !,pls mkuu Linda hadhi yako
Karibu kamandaHii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa.
Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025.
Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo hii 2023.
Karibu.
View attachment 2501734
Lema hawezi kushinda Mbunge tena
Kwa kweli anawanyoosha kwa lugha zake za kishenzi ila iko siku atajutaKaribu Lema uwanyooshe watu
Watanzania bana yaani mpuuzi anaekesha mitandaoni kutukana viongozi ndio kiboko,Karibu Mh. Lema. Kiboko yao.
Arusha hali ya utulivu imerejea ,wanaarachuga sio wajinga aiseeLema hawezi kushinda Mbunge tena