Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

Wee fala kwan hofu yako ni nini?? Tulia ukiliweka tako juu dawa ikuingie.
Uyo Gambo mpaka sasa kafanya nini zaid ya malumbano tu??
Hacha democracy ichukue nafasi
 
Mkuu ilikuwa unataka aendelee kukaa uhamishoni mpaka lini? Watanzania ni wakarimu amekwenda amerudi, tunampokea maisha yanaendelea.
Si angeendelea kubakia huko kwa maana alishasema watanzania ni wajinga ?kwa nini asiendelee kula bure huko alipo?
 
Yaani wewe ni kilaza Sana
 
Alinde hadhi gani sijawahi kuona chawa mwenye hadhi

Ukishaka chawa we hadhi yako ni chawa tu
 
uliyepost habari si mwanachaddma ila mamluki
 
Turudi wote kwenye Nchi yetu Tanzania, nchi ya amani na upendo wa kidugu. Ndani ya miaka takribani 7 nchi yetu ilivamiwa, nchi ikawa haikaliki ukinyenyua mdomo kidogo tu kesho yake hauonekani na hata kwa bahati ukionekana basi upo nyakanyaka.
Ni muda sasa wa kuijenga nchi na kuweka misingi imara ili hata akija Rais wetu yoyote yule hiyo mifumo imara ndani ya Katiba mpya itamdhibiti.
Karibu tena nyumbani Mh. Lema.
 
NI HAKI YAKE au HUTAKI maana Wajinga mpo wengi sana kwa Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…