Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

Umekuwa wakala wa habari mbovu sana ndani ya chama, na inashangaza sana kama hujistukii mwenyewe!

Hakuna anayepigana na wewe, matendo yako na maneno ndiyo sumu inayokutafuna mwenyewe.

AAjabu ni kuwa unataka watu waondoe fikra zao kwa mapambano ya kuikomboa nchi hii, wa-focus' kwenye upuuzi wa maswala ya kibinafsi.

Nabii uchwaraa haamini kapoteza credibility kwa siku 1 tuu, 😂😂😂😂
 
Nabii uchwaraa haamini kapoteza credibility kwa siku 1 tuu, 😂😂😂😂
Hapana. Siyo siku moja tu, imekuwa 'pattern' ambayo ni vigumu sana kama yeye mwenyewe haimstui.
Matamshi yake yamekuwa na utata sana, hasa kumhusu Makamu Mwenyekiti; ambaye kasimamia kwa ushujaa sana mwenendo wa chama wakati Mwenyekiti akiwa gerezani.

Sasa tuamini Lema haoni kazi kubwa anayoifanya Heche ya kuhakikisha chama hakitetereki bila ya yeye Lema kuingiza maswala ya kumvuruga huyo huyo anayepambannia chama?

Kipaumbele chake yeye Lema ndani ya chama ni nini; kuanzisha mitafaruku wakati 'delicate' kama huu; kwa faida ya nani, Samia na rafiki yake Mbowe?
 
Wanaopigana na mimi wataanza kuadhibiwa muda siyo mwingi maana namjua Mungu ninayemwamini.

Msimamo wa kukataa maridhiano ni wa kamati kuu ya chama na siyo mtu.

View attachment 3670795
Kwa mwenendo huu Lema atajifunza maana ya amri hii ya Mungu kwa vitendo;

Kutoka 20
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
 
Aseme mara ngapi kuwa hapingani na uamuzi wa Kamati Ndogo ya Kamati Kuu kuwa hamna maridhiano na lazima pawe na mwakilishi wa nje? Amesema hivyo katika bandiko hapo juu lakini bado mnang'ang'ania kuwa anataka maridhiano. Huo sasa ni uchonganishi wenye nia ya kuvuruga Chadema.

Amandla...
Wanaharakati wameshindwa kupambana na mtesi wao wameamua kuchagua wanayemmudu.
Imekuwa Modus Operandi yao wanapokosa jambo la msingi la kushambulia wanachagua scapegoat yoyote kwa namna wanavyotaka wao.
 
Fuatilia kauli za Lema zilizotufikosha hapa. Mwenyekiti akiwa kortini alitoa pole kwa samia kufiwa na mume wake, na kwamba afikishiwe salamu hizo. Lema akachukua hilo kutaka kuonyesha kwamba Mwenyekiti amekubali maridhiano au anakusudia kuanzisha maridhiano na samia na serikali yake.
Hiki ndicho kimetufikisha hapa, watu wanahoji kwanini Lema aunganishe kauli hiyo (Ya Mwenyekiti) na maridhiano??
Watu wanahisi Lema anatumika, na mazingira ya kuhisi huko ni kwamba;
1. Mwenyekiti hajatoa msimamo wake juu ya hilo. Msimamo wa Mwenyekiti ni watu kutomfuata usiku. Kama Mwenyekiti anahitaji maridhiano, angeyaanzisha .wenyewe kupitia kamati kuu yake, ambayo wajumbe wake wanne wakubwa (top layer) wapo kortini na wanakutana nae.
2. Kwanini Lema atumie kauli ya Mwenyekiti kupenyeza ajenda/kuonyesha kwamba Mwenyekiti anahitaji maridhiano, awali Mwenyekiti mwenyewe hajaonyesha nia hiyo; ka maneno au kupitia viongozi wa chini yake. Watu wanaona kuna nia ovu juu ya hili.
3. Kwanini Lema afukishe ujumbe huo, wakati kiitifaki yeye ni Mjumbe tuu wa kamati kuu?. Kwanini Makamu Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, KTM mkuu, Makamu Katibu Mkuu, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Chama, haijafanya hilo, isipokuwa Lema peke yake?

Watu wanaona wazi Lema, ana hila na analo analokusudia kwenye hii "move" yake. Watu hawajatilia shaka maoni yake, lakini wanaona kuna hila juu ya maoni hayo, wanaona anatumika. Ni wajibu wake kujibu hili kwa wanachama.
Lema hata hakutaja maridhiano kwenye tweet yake ni vile wengi mmejaa sumu mnataka kumwangushia jumba bovu tu.
Kama Lema angekuwa Sell Out angechukua begi la magufuli na kuhamia ccm kirahisi tu.

Wapo wanasiasa wengi wapumbavu ila Lema siyo mmojawao.
 
Fuatilia kauli za Lema zilizotufikosha hapa. Mwenyekiti akiwa kortini alitoa pole kwa samia kufiwa na mume wake, na kwamba afikishiwe salamu hizo. Lema akachukua hilo kutaka kuonyesha kwamba Mwenyekiti amekubali maridhiano au anakusudia kuanzisha maridhiano na samia na serikali yake.
Hiki ndicho kimetufikisha hapa, watu wanahoji kwanini Lema aunganishe kauli hiyo (Ya Mwenyekiti) na maridhiano??
Watu wanahisi Lema anatumika, na mazingira ya kuhisi huko ni kwamba;
1. Mwenyekiti hajatoa msimamo wake juu ya hilo. Msimamo wa Mwenyekiti ni watu kutomfuata usiku. Kama Mwenyekiti anahitaji maridhiano, angeyaanzisha .wenyewe kupitia kamati kuu yake, ambayo wajumbe wake wanne wakubwa (top layer) wapo kortini na wanakutana nae.
2. Kwanini Lema atumie kauli ya Mwenyekiti kupenyeza ajenda/kuonyesha kwamba Mwenyekiti anahitaji maridhiano, awali Mwenyekiti mwenyewe hajaonyesha nia hiyo; ka maneno au kupitia viongozi wa chini yake. Watu wanaona kuna nia ovu juu ya hili.
3. Kwanini Lema afukishe ujumbe huo, wakati kiitifaki yeye ni Mjumbe tuu wa kamati kuu?. Kwanini Makamu Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, KTM mkuu, Makamu Katibu Mkuu, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Chama, haijafanya hilo, isipokuwa Lema peke yake?

Watu wanaona wazi Lema, ana hila na analo analokusudia kwenye hii "move" yake. Watu hawajatilia shaka maoni yake, lakini wanaona kuna hila juu ya maoni hayo, wanaona anatumika. Ni wajibu wake kujibu hili kwa wanachama.
Chadema wamekosa utulivu kabisa.
zitto junior
 
Watu wamwambie Lema kwamba watanzania wa sasa sio wa kudanganywa kwa propaganda...

Watanzania wanamjua adui yao, wanamjua anayeshirikiana nae pia...

Watanzania wa sasa wako mbele ya muda...

Lema asifikiri anaandamwa kwasababu yeye ni Lema, NOOO hata Lisu siku akijichanganya atabaki peke yake...

Watanzania wa sasa wako tofauti, someni alama za nyakati.
 
Wanaopigana na mimi wataanza kuadhibiwa muda siyo mwingi maana namjua Mungu ninayemwamini.

Msimamo wa kukataa maridhiano ni wa kamati kuu ya chama na siyo mtu.

View attachment 3670795
Lema kadiri anavyojitetea ndivyo anazidi kuharibu, hakuna Mungu mwenye kusimama na maovu na waovu.

Kumtumia Mungu kwenye kujibu hoja ni udhaifu mkubwa, aongee facts na kuepuka conspiracy theories. Wananchi wa sasa wanaufahamu mkubwa, internet social media imeenea kote. Hizi sio nyakati za legacy media.

Sio muda mrefu atadharaurika na kusahaulika kama Mbowe na Zitto Kabwe.

Kweli ni bora kuwa upande wa wananchi kuliko kuwa upande wa waovu kisa unapata temporary comfort na hela zenye damu.

Nyerere alikuwa sahihi sana kuwapumzisha wachaga kwenye uongozi, kwenye hela wachaga ni very weak individuals.

Anyway choose wisely Bwana Lema, your moment of wisdom is now, unaweza bado ukarekebisha, lakini najua ulipofika ni point of no return...ni either urudishe ulichokula au ufanye kazi waliyokutuma.
 
Lema hilo gazeti kajibu clip ya mange, cha ajabu tuhuna nzito alizohusishwa hajajibu.
Yeye aeleze ukweli kapewa bei gani na Abdul, ili maridhiano yafanyike, na aseme huko Sea cliff anaishi kwa pesa ya nani? Hao ndugu take lissu anawabana bana nini? Na kutoa mambo binafsi ya heche kwa mawakili wa serikali, ili iwejee.
Mchaga mwenyewe huyo, hajaacha asili kabisaa Nabii uchwaraaa.
Mxxxiiiieeeew take.
Akwendreee take kuleeee. Pumbaaavu.
Huyu nabii wa mchongo msaliti atoe majibu ya kueleweka sio kuleta blah blah
 
Aende tu bwana Ni muda sasa Lisu amtoe hatutaki watu wajinga na wasiojielewa.Asije akaleta mambo ya Mbowe na Zitto.Aende Chauma huko ndipo kunapomfaa shetani wa mguu mmoja huyu
 
Back
Top Bottom