Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

Kuna posti amegusia maamuzi ya kamati kuu waliyoketi ku justify, alichokifanya. Vichwa kweli ni vidogo, lakini tuna pua kubwa kunusa harufu ya hili la Lema. Hatutakaa kimya kwa hili.
Huwezi kutumia pua kuamua jambo lisilohusiana na harufu, acha utoto.
 
Chadema itakapochukua nchi 20400 tutapata tabu sana!!
Ni madikteta haswaaa!
Na nyote mliokuwa machawa kama wewe tutawapiga miti hadi mfee dadek zenu, ninyi na akina katuga tutawala mtungo na mnatujua vzr namna tulivyo na ugwadu!.
By the way Nchimbi alikuwa na mtazamo tofauti ila yu wapi leo huko cccm, polepole jee??
Takataka!
 
Kama Lema anashambuliwa mitandaoni hutaki ajitetetee?
Umewahi kwenda page ya Samia au ikulu? Umewahi ona matusi anayoporomoshewa twitter na Instagram? Amewahi jibu? Unavyozidi kujibu ndio unafanya makosa zaidi mfano la kumuingiza Heche ni blunder.
Waambieni wale wanaokesha kumshambulia Lema mitandaoni wamuache tuone kama ataendelea kuhangaika na mitandao.
Kwani kulikua na haja ya yeye kupost kila kitu? salamu keshapost Brenda inatosha why tena kuanza kulia lia Mama amuachie Lissu? Ni kosa la PR.
Mara ngapi before Lema amekuwa akionesha maovu ya serikali kupitia mitandao na hatukuwahi kumuona mbaya?
Sasa kuwa na kiasi ni muhimu, unajua ukiweka tweet ya maana alafu ukapotea muda unatengeneza thamani sio sasa kila kitu una comment mpaka vurugu za nchimbi akawa ndio msemaji wake. Scarcity adds value, ndio maana viongozi wakubwa wana social media managers.
Msilee tatizo, Lema ana haki ya kujitetea akiendelea kushambuliwa, namuunga mkono.
Heche na Mnyika walitukanwa mangapi na kuitwa mafisadi? Umeona wakikesha kujitetea? Huu ndio ukomavu, unajibu kwa vitendo sio kkelele. Hata Mbowe kukaa kimya kunamsaidia ila akianza kujibu ataharibu zaidi.

Kwenye siasa taswira ni kila kitu.
 
Lema acha kutisha watu na unabii wako uchwara, ukileta tamaa tunapita na ww kama hatuna akili nzuri...hujajifunza kwa kakako mbowe, sasa hv kawa kama mavi tu mbele ya macho ya watz, ukiacha yale ya walamba asali wenzie!!.
 
Umewahi kwenda page ya Samia au ikulu? Umewahi ona matusi anayoporomoshewa twitter na Instagram? Amewahi jibu? Unavyozidi kujibu ndio unafanya makosa zaidi mfano la kumuingiza Heche ni blunder.

Kwani kulikua na haja ya yeye kupost kila kitu? salamu keshapost Brenda inatosha why tena kuanza kulia lia Mama amuachie Lissu? Ni kosa la PR.

Sasa kuwa na kiasi ni muhimu, unajua ukiweka tweet ya maana alafu ukapotea muda unatengeneza thamani sio sasa kila kitu una comment mpaka vurugu za nchimbi akawa ndio msemaji wake. Scarcity adds value, ndio maana viongozi wakubwa wana social media managers.

Heche na Mnyika walitukanwa mangapi na kuitwa mafisadi? Umeona wakikesha kujitetea? Huu ndio ukomavu, unajibu kwa vitendo sio kkelele. Hata Mbowe kukaa kimya kunamsaidia ila akianza kujibu ataharibu zaidi.

Kwenye siasa taswira ni kila kitu.
- Mimi sio mtu wa mitandaoni sana, hizo pages za Samia na ikulu sijawahi kupita kabisa, kama kuna anayeporomoshewa matusi huko ni haki yake kujibu, kukaa kimya muda mrefu ukizidi kuchafuliwa wapo watakaoamini.

- Uamuzi wa kupost mitandaoni kila muda anaoamua ni wake, tusimpangie maamuzi yake ya kutumia mitandao, hatuna mamlaka hayo.

- Ni kweli unaposema scarcity ina add value, lakini inategemea na hulka ya mtu na namna yake ya ku-handle mambo.

Kama Mnyika aliwahi kushambuliwa akanyamaza, hiyo ni hulka au tabia ya Mnyika, Lema ni tofauti na sioni kosa lake kwa hilo.

Kuishi kwenye jamii inayoamini udaku halafu ukawa unashambuliwa muda mrefu usijibu unajiweka kwenye hatari ya kupoteza heshima yako, lazima uilinde kwa kujitetea.
 
Yeye kama mjumbe wa kamati kuu, kwanini ashupaze shingo leo, kutangaza maridhiano hayo wakati, Makamu Mwenyekiti wake yupo? Katibu wa Chama yupo, Makamu Mwenyekiti Zanzibar yupo?
Makamu Mwenyekiti kwa wiki mbili sasa yupo kortini anatoa ushahidi, kwanini yeye ajitokeze leo kutangaza na kuyataka maridhiano hayo?

Kama nia yake ni kumtoa Mwenyekiti kwa mgongo wa maridhiano, Mwenyekiti ameshakataa watu kumfuata Ukongo, wafike mahakamani. Mwenyekiti kakataa vikao vya usiku.

Kuhusu maridhiano; Mwenyekiti yeye mwenyewe anaweza anzisha mazungumzo hayo.

Katibu wake, Naibu Katibu Bara, Makamu Mwenyekiti bara na visiwani, wote wanaongea na Mwenyekiti mahakamani, karibu wiki mbili zote, anakutana nao kama mashahidi wake, kama angetaka (Mwenyekiti) maridhiano angeweza kuayaanzisha muda wowote kwa utaratibu na protokali za kichama, sababu wasaidizi wake wote kiitifaki wanakutana nae mahakamani.

Mwenyekiti amepewa nafasi na mahakama kuongea nao (Sababu ni mashahidi wake lazima akae nao) ili kuwaandaa kiushahidi. Hilo la maridhiano kwanini litoke kwa Lema???

Lema lazima ajibu, kwanini anahitaji maridhiano hayo nje ya utaratibu wa kichama?
Ana haraka gani?
Anataka kumfurahisha nani?
Nani yupo nyuma yake?
Anataka maridhiano kwa maslahi ya nani?
Kama kiswahili tu umeshindwa kusoma na kuelewa, basi huko Chadema kuna kazi kuliko ya mwalimu wa darasa la kwanza kuwafuta wanafunzi ujinga.
 
Uamuzi wa kupost mitandaoni kila muda anaoamua ni wake, tusimpangie maamuzi yake ya kutumia mitandao, hatuna mamlaka hayo.
Hapana, ukishakua mtumishi wa taasisi hauna uhuru huo kuweka taarifa za ofisi kwenye public domain. Yeye ni mjumbe wa kamati kuu na amepewa uratibu wa kanda na kuongoza kamati ya fedha (tone tone) so basically anakua chini ya sheria za chama ikiwemo sera ya ICT ya chama inayotoa restrictions.
Mimi sio mtu wa mitandaoni sana, hizo pages za Samia na ikulu sijawahi kupita kabisa, kama kuna anayeporomoshewa matusi huko ni haki yake kujibu, kukaa kimya muda mrefu ukizidi kuchafuliwa wapo watakaoamini.
Heche amechafuliwa sana hajajibu umeona aameacha kuaminika? In fact baada ya Heche kuambiwa ameiba ndio akaitisha michango ya baraza kuu na si umeona wamepata mamilioni!! Unajibu tuhuma kwa vitendo sio maneno.
Kama Mnyika aliwahi kushambuliwa akanyamaza, hiyo ni hulka au tabia ya Mnyika, Lema ni tofauti na sioni kosa lake kwa hilo.
Na kunyamaza kumemsaidia Mnyika, imagine alimkataa Lowassa ila hakuwahi sema popote ila alisusa tu. Na hii imemsaidia ndio maana ana command respect na ngumu sana kuona mtu akamtilia shaka Mnyika kuwa msaliti and all that. Lema ajifunze kujizuia otherwise the more anafungua mdomo ndio anazidi kuharibu.
Kuishi kwenye jamii inayoamini udaku halafu ukawa unashambuliwa muda mrefu usijibu unajiweka kwenye hatari ya kupoteza heshima yako, lazima uilinde kwa kujitetea.
Sasa kwa jamii hiyo ukijitetea ndio utajichanganya unaharibu zaidi. Si umeona issue ya Wema alivyojitetea ndio ikaharibu zaidi. Ukikaa kimya upepo ukapita unapoteza nini?
 
Hapana, ukishakua mtumishi wa taasisi hauna uhuru huo kuweka taarifa za ofisi kwenye public domain. Yeye ni mjumbe wa kamati kuu na amepewa uratibu wa kanda na kuongoza kamati ya fedha (tone tone) so basically anakua chini ya sheria za chama ikiwemo sera ya ICT ya chama inayotoa restrictions.

Heche amechafuliwa sana hajajibu umeona aameacha kuaminika? In fact baada ya Heche kuambiwa ameiba ndio akaitisha michango ya baraza kuu na si umeona wamepata mamilioni!! Unajibu tuhuma kwa vitendo sio maneno.

Na kunyamaza kumemsaidia Mnyika, imagine alimkataa Lowassa ila hakuwahi sema popote ila alisusa tu. Na hii imemsaidia ndio maana ana command respect na ngumu sana kuona mtu akamtilia shaka Mnyika kuwa msaliti and all that. Lema ajifunze kujizuia otherwise the more anafungua mdomo ndio anazidi kuharibu.

Sasa kwa jamii hiyo ukijitetea ndio utajichanganya unaharibu zaidi. Si umeona issue ya Wema alivyojitetea ndio ikaharibu zaidi. Ukikaa kimya upepo ukapita unapoteza nini?
- Hapa muhimu kutenganisha vitu viwili, moja, utumishi wa taasisi, mbili; masuala yake binafsi.

Tuhuma anazopewa Lema mitandaoni ambazo ndizo huzijibu, directly huwa anatupiwa yeye, sio taasisi, tena mbaya zaidi ni tuhuma empty zisizo na ushahidi wowote zaidi ya "kuwa na D mbili" kama wanavyosema wajuaji.

Kwa hili ana haki ya kujitetea kila wakati bila kujali nafasi yake kwenye taasisi, akinyamaza ataonekana mbaya.

- Tuhuma za Heche zilikuja kwa kipindi zikaondoka, sio kama Lema, yeye anatuhumiwa kila siku. Huyo Hilda kila akiamka anaanza na Lema, na kabla hajalala anahakikisha analala na Lema.

Kuwalinganisha hawa wawili ni vitu viwili tofauti. Naamini hata Lema mwenyewe asingehangaika kujitetea kila siku kama pasingekuwepo na shutuma dhidi yake kila siku.

Lema hawezi kuzidi kuharibu kwa kujibu tuhuma anazotupiwa all the time zisizo na ushahidi, sioni uwezekano huo.

Kukaa kimya huku wabaya wako wanazidi kuongea dhidi yako kila siku kuna madhara makubwa, hasa kwa hawa wanasiasa na wapiga kura wao.

Majority hata humu ndani nikitazama attitude yao wanamchukia Lema bila sababu yoyote ya msingi, wengi ni mawazo yao tu mabaya dhidi yake, kwasababu sijamuona yeyote mwenye ushahidi concrete wa tuhuma dhidi yake.

Aachwe ajitetee.
 
Huyo Ni dalali na Tapeli km kaka Malienge.
Ninakubaliana na wewe kama nimeelewa/nimemtambua vizuri huyo "kaka mMalienge"
Kuna dada "Malienge" pia nisiyemtambua wala kumwamini katika ukombozi wa taifa hili.
 
Back
Top Bottom