Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi


Nabii uchwaraa haamini kapoteza credibility kwa siku 1 tuu, 😂😂😂😂
 
Nabii uchwaraa haamini kapoteza credibility kwa siku 1 tuu, 😂😂😂😂
Hapana. Siyo siku moja tu, imekuwa 'pattern' ambayo ni vigumu sana kama yeye mwenyewe haimstui.
Matamshi yake yamekuwa na utata sana, hasa kumhusu Makamu Mwenyekiti; ambaye kasimamia kwa ushujaa sana mwenendo wa chama wakati Mwenyekiti akiwa gerezani.

Sasa tuamini Lema haoni kazi kubwa anayoifanya Heche ya kuhakikisha chama hakitetereki bila ya yeye Lema kuingiza maswala ya kumvuruga huyo huyo anayepambannia chama?

Kipaumbele chake yeye Lema ndani ya chama ni nini; kuanzisha mitafaruku wakati 'delicate' kama huu; kwa faida ya nani, Samia na rafiki yake Mbowe?
 
Wanaopigana na mimi wataanza kuadhibiwa muda siyo mwingi maana namjua Mungu ninayemwamini.

Msimamo wa kukataa maridhiano ni wa kamati kuu ya chama na siyo mtu.

View attachment 3670795
Kwa mwenendo huu Lema atajifunza maana ya amri hii ya Mungu kwa vitendo;

Kutoka 20
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
 
Wanaharakati wameshindwa kupambana na mtesi wao wameamua kuchagua wanayemmudu.
Imekuwa Modus Operandi yao wanapokosa jambo la msingi la kushambulia wanachagua scapegoat yoyote kwa namna wanavyotaka wao.
 
Lema hata hakutaja maridhiano kwenye tweet yake ni vile wengi mmejaa sumu mnataka kumwangushia jumba bovu tu.
Kama Lema angekuwa Sell Out angechukua begi la magufuli na kuhamia ccm kirahisi tu.

Wapo wanasiasa wengi wapumbavu ila Lema siyo mmojawao.
 
Chadema wamekosa utulivu kabisa.
zitto junior
 
Watu wamwambie Lema kwamba watanzania wa sasa sio wa kudanganywa kwa propaganda...

Watanzania wanamjua adui yao, wanamjua anayeshirikiana nae pia...

Watanzania wa sasa wako mbele ya muda...

Lema asifikiri anaandamwa kwasababu yeye ni Lema, NOOO hata Lisu siku akijichanganya atabaki peke yake...

Watanzania wa sasa wako tofauti, someni alama za nyakati.
 
Wanaopigana na mimi wataanza kuadhibiwa muda siyo mwingi maana namjua Mungu ninayemwamini.

Msimamo wa kukataa maridhiano ni wa kamati kuu ya chama na siyo mtu.

View attachment 3670795
Lema kadiri anavyojitetea ndivyo anazidi kuharibu, hakuna Mungu mwenye kusimama na maovu na waovu.

Kumtumia Mungu kwenye kujibu hoja ni udhaifu mkubwa, aongee facts na kuepuka conspiracy theories. Wananchi wa sasa wanaufahamu mkubwa, internet social media imeenea kote. Hizi sio nyakati za legacy media.

Sio muda mrefu atadharaurika na kusahaulika kama Mbowe na Zitto Kabwe.

Kweli ni bora kuwa upande wa wananchi kuliko kuwa upande wa waovu kisa unapata temporary comfort na hela zenye damu.

Nyerere alikuwa sahihi sana kuwapumzisha wachaga kwenye uongozi, kwenye hela wachaga ni very weak individuals.

Anyway choose wisely Bwana Lema, your moment of wisdom is now, unaweza bado ukarekebisha, lakini najua ulipofika ni point of no return...ni either urudishe ulichokula au ufanye kazi waliyokutuma.
 
Huyu nabii wa mchongo msaliti atoe majibu ya kueleweka sio kuleta blah blah
 
Aende tu bwana Ni muda sasa Lisu amtoe hatutaki watu wajinga na wasiojielewa.Asije akaleta mambo ya Mbowe na Zitto.Aende Chauma huko ndipo kunapomfaa shetani wa mguu mmoja huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…