Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

Ndo kisa cha kuanza kuwachoma kina Pambalu mpka kufanya Twaha Mwaipaya akamatwe na kutekwa.... ameyasema hayo kwa kuwa anajua alichokuwa anakifanya.. Uzuri nikwamba mipango yake yote imeshajulikana na imebumba mapema sanaaa....
 
Hivi huyu Lema kwa haya aliyoyaongea angekuwa yupo CCM je angebaki salama kwa watoto kama akina Kawaida? si hapo tayari angeitwa kwenye vikao vyao na kuvuliwa kila nyadhifa, eti leo CCM wanamuona Lema kafanya jambo zuri wakati wao wenyewe mauozo yao wanayafunika lakini baado yanatoa uvundo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…