Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
View attachment 3606582
Balozi Polepole bado yupo hai?Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
View attachment 3606582
nonsense 🐒Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
View attachment 3606582
Kaka yako hujui alipo na usichanganyikiwe, labda kama familia yenu mnaishi kwa kuvumiliana maana ndio mmeshazaliwa pamoja ila undugu wala upendo hakuna.Augustino kwenda wapi?? Hawa wamechanganyikiwa na hawako serious
Kila siku mikwara ya nini? Kama hunacapacity ya kufanya chochote unajikalia kimya tyKaka yako hujui alipo na usichanganyikiwe, labda kama familia yenu mnaishi kwa kuvumiliana maana ndio mmeshazaliwa pamoja ila undugu wala upendo hakuna.
Hawa jamaa ni Ndugu zake kweli?Huyu nae anakua kama anaimba taarabu wenzie wanafanya kweli
Tokea ameanza kutishia nini kimefanyika?
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
With all due respect Mr. Godfrey. Natambua maumivu na uchungu ulionao kufuatia kupotezwa kwa mheshiwa Polepole lkn sidhani kama swala la ndege linaweza kuwa a best leverage kwani kwa level ya maovu, na ubandhilifu wanaoufanya na kukataa kuwa accountable hata kwenye vitu vilivyowazi watajali issue ya ndege. The only time wanaweza kupay attention ni pale ambapo uhai wao au wa immediate family members wao utahusika au marija yao ya kunyonya asali ya taifa itakatwaGodfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.
View attachment 3606582
Mimi pia hujiuliza hili swaliHawa jamaa ni Ndugu zake kweli?
Kikwete na kundi lake hawajawahi kuwa na AibuAisee.