Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

haisaidii kitu maana hata ukisema haitokuwa swala jipya...

hiyo haitokuwa sawa na Bil. 180 za uwanja wa Arusha au zile Tril. 1.5 za kipindi kile..

mwamba aliyatimba kwa wahuni tusubiri muda utaongea ila wahuni siyo watu wa mchezo mechezo :AlienPls:
 
Kumesikika kwamba kuna uwezekano wa maandamo 7-July, kanajitokeza ku divert attention za watu, huyu ni mipango...


Cc: Mahondaw
 
Hawa ndugu zake Humphrey wamerun out of strategy, ni vyema wajipange waje kivingine kwa kishindo kikali kama wataamua kulipa kisasi kwa kaka yao aliyeuwawa tayari.

Vinginevyo wataendelea kumpa maumivu ya moyo mama yao baada ya kupotelewa na mwanae na hao wengine wakifuatia.

Kwa sasa chama cha majambazi hakisikii lugha yoyote iwe laini au nzuri , naamini lugha pekee wanayoweza kusikia na kujutia maouvu yao ni risasi tu.

Hivyo wanaweza kwenda kujipanga kuchukua mafunzo ya kutumia silaha kubwa au ndogo siku wakimwaga ubongo wa mtu mmoja walau aliyeamuru kaka yao atekwe na kuuwawa watakua wameweka statement yenye kishindo na kumtendea haki kaka yao vinginevyo nao wasipokua makini watamfuata kule kule.

Maana ufisadi wa rada tuliusikia hata ndege ile enzi za Mkapa kuna mjinga mmoja akasema watanganyika mtake msitake mtakula hata nyasi ila ndege ya rais lazima inunuliwe ndio mjue hawajali lolote kuhusu raia.
 
Back
Top Bottom