AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Kuna kirusi kitaharibu huko kulindanaKm itakua hivyo sawa ila ni km wameweza kulikalia kimya Wote wanalindana
Kuna kirusi kitaharibu huko kulindanaKm itakua hivyo sawa ila ni km wameweza kulikalia kimya Wote wanalindana
Right, wameshapita level ya kutishwa they don't care about anything other than their titles in power, kwa sasa wanachoangalia ni madaraka yao kuguswa.Sizani Kama watakuelewa
Kukaa kimya ndugu yako anapouliwa ndiyo mental health.Mental health
Usichanganye huyu ni mwingine.Adui kashazoea mikwara kwahiyo tulia huna jipwa
Itakusaidia nini sasa.Wewe hapo.
Nakusaidia weweItakusaidia nini sasa.
Hahaha..pengine ndiyo maana yake.Wakimuachia hatasema ufisadi huo?
Mkuu Sajo hii huwa tunaita ''tisha toto''. NI ya kizamani lakini namwelewa sana huyu ndugu anapoitumia kwa sababu kilichotokea kwa Polepole kinasikitisha kwa kila mtu. Nadhani wengi tunajua kuwa unapompoteza mtu wako wa karibu kama ndugu, moyo wako hauwezi kuamini kilichotokea. Hisia zangu zinanituma niamini kuwa huyu mtu aliuawa kama lile gazeti la nje lilivyoandika. I wish awe still alive, lakini matumaini yangu ni 1%.Balozi Polepole bado yupo hai?
Uko sahihi mno mno. Ufisadi wa ndege umtishe Samia? Pamoja na kuwa wote tuna uchangu wa Polepole kupotezwa ila hawa ndugu zake nao ni watu wasio na strategic yoyote. Hawana uwezo wa kufanya chohote lakini wanajaribu kutoa mikwala ya kizamani. Hizo nguvu ningependa sana wazitumie ku-deal na jumuia za kimataifa wawasaidie. Na hsa mama yake lepole anaweza ´kuwa anaitisha press kila mwezi na kutaka haki.With all due respect Mr. Godfrey. Natambua maumivu na uchungu ulionao kufuatia kupotezwa kwa mheshiwa Polepole lkn sidhani kama swala la ndege linaweza kuwa a best leverage kwani kwa level ya maovu, na ubandhilifu wanaoufanya na kukataa kuwa accountable hata kwenye vitu vilivyowazi watajali issue ya ndege. The only time wanaweza kupay attention ni pale ambapo uhai wao au wa immediate family members wao utahusika au marija yao ya kunyonya asali ya taifa itakatwa
Sasa haoni kuwa kuacha kusema ufisadi kwa sababu kaka yake kaachiwa nao ni ufisadi?Hahaha..pengine ndiyo maana yake.
Ngoma gani mkuu mningia nayoooooWalete
Huwezi kunielewa because umemeza ndoanoKukaa kimya ndugu yako anapouliwa ndiyo mental health.
Wakimuachia Humphrey atanyamazaGodfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.