Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

Hii awamu imejaa ufisadi na haijali kutuibia watanganyika, namshauri atafute njia nyingine sio hiyo.
 
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.

Yetu masikio.

View attachment 3606582
Hii familia tayari imeumizwa sana.
Yeye amwage kuku wengi kwenye mtama. Mengine yatajilengesha mle mle!
 
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.

Yetu masikio.

View attachment 3606582
Sidhani kama anawajua hao mazafakas vizuri. Wameua maelfu ya innocent civilians, lakini hawana hata chembe ya remorse! Sijui kwanini yeye anadhani wanaweza kutishika na hili la ufisadi.
 
Balozi Polepole bado yupo hai?
Kwa kauli hii nimeamini yupo hai au wanao pambana ndani ya mfumo wanajua hayupo hai Ila wanaitumia familia hii kusukuma kete zao.
Wanajua ndugu wa HP wapo desperate na hasira pia. Watafanya lolote bila kuwaza athari zake.

Aigustino Polepole sikumuamini sana.
Huyu Godfrey naona Kuna watu ndani ya mfumo wasiopendezwa na mambo yanavyo endeshwa wanampa hizo taarifa za siri.
Vita dhidi ya 'YUDA WA BONGO' itawagharimu wakoloni weusi.
 
Mnatumia 'strategy' zisizofaa.

Hawa siyo watu wanaostushwa na vitisho vya habari kama hizo.

Hivi bado hamuelewi kitu gani nyie watu?

Haewa wanaua binaadam wenzao kama wanyama, halafu mnategemea watashtushwa na vihabari vya ndege?

Hizo habari zitawaondolea kitu gani?
Kuna sheria yoyote itakayowabana? Mbona wao wapo juu ya sheria zote hapa nchini.

Wangekuwa ni watu wa kuheshimu sheria wasingekuwa kwenye madaraka ambayo hawakupewa na wananchi.
 
Back
Top Bottom