Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

Godfrey Polepole: Ndani ya siku 4 nitaweka wazi ufisadi wa ndege ya Rais

Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.

Yetu masikio.

Huyu naye tulishamchoka bwana! Kaka yake hajarudishwa mpaka leo yeye anabwabwaja tu! Mara oooooh, Kikwete ongeza ulinzi nitakula kichwa, yako wapiiiiii? Sasa ufisadi wa ndege Sisi unatuhusu nini?
 
Pumbavu kabisa.
Polepole kwa mujibu wa Sheria za Tanzania hana hadhi ya ubalozi.
Mkapa alipowaita vijana wapumbavu pale jangwani alikuwa sawa 100%.
Huyu tapeli aliwadanganya kuwa yeye ni Kanali wa jeshi la NATO na wapumbavu wakaamini huku NATO haina jeshi lolote tangu kuundwa kwake.
 
Ni ngumu sana kumrudisha maana ni mbaya kwao na aliwezekani ila kama wanajua alipo ipigwe ambush moja kumchomoa
 
With all due respect Mr. Godfrey. Natambua maumivu na uchungu ulionao kufuatia kupotezwa kwa mheshiwa Polepole lkn sidhani kama swala la ndege linaweza kuwa a best leverage kwani kwa level ya maovu, na ubandhilifu wanaoufanya na kukataa kuwa accountable hata kwenye vitu vilivyowazi watajali issue ya ndege. The only time wanaweza kupay attention ni pale ambapo uhai wao au wa immediate family members wao utahusika au marija yao ya kunyonya asali ya taifa itakatwa
✅✅
 
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.

Yetu masikio.

Wanaomfatilia huyu, wote hawana akili!
Huyu ni project ya mfumo kama project zingine, kuuaminisha umma YA KUWA MAREHEMU BADO YUKO HAI...Kutia watu matumaini hewa!
 
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.

Yetu masikio.

Hayupo sawa huyu, mliopo karibu msaidieni ndugu yetu.

Ufisadi chini ya Sa100 mbona siyo jambo geni? Sa100 hawezi kutishika na hii habari, kama mtu aliua malaki ya watanganyika anashindwa vipi kufanya ufisadi?
 
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.

Yetu masikio.

Wakimuachia Humphrey atanyamaza
Angekuwa ni ndugu yako Katekwa usingeongea hivyo wewe si umeona Polepole aliwapigia watanzania na hao watanzania wamekaa kimya
nilipoteza ndugu na aliuwawa miaka Tisa iliyopita

Tusiongee tu

Huyu Godi keshaleta vitisho vingapi humu? Na why anakuja akiona kuna vuguvugu ?

Decoy hiyo
 
Back
Top Bottom