Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu, hii ndio ccm hubadirika kama kinyonga! Sasa hivi mnaisifu ccm bila nyie kujua!

Lakini kama kawaida yenu mtajua ikifika oktoba 2025
Angalia kama kuna bandiko nimesifia cha mafisadi mimi
 
jpm alianza hivi hivi.

nakumbushia tu.
nasubiri jina la vice ndio nijue ni hatua za uwajibikaji zinazochukuliwa au maigizo tu.


Mungu umeamua yatokee haya,wacha tukuache.
Jina la vice limesha toka na amesha kuwa vice tayari tumalizie basi
 
Mungu amelikomesha Jiwe, pumbavu kabusa mlitaka kuharibu nchi MATAGA mkavimba vichwa sasa kiko wapi? Jiwe limedanja!
 
Back
Top Bottom