Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
HahahaaaaWanamgombania kabisa yani[emoji23]
Ukicomment kumdis mama Samia Chadema watakuparamia mpaka utajuta kuzaliwa.wafuasi wa CCM wenye Samia wao wakija wanakuta Chedema washamaliza kazi[emoji23]
hiii maweeee[emoji23]
Kweli kabisa aisee!
Hahahahahaaa.
Aliyewaita nyumbu hakukosea.