Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Aondoke tu, CDM ni taasisi haimtegemei mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji wa ZZK,pambania ACT ya CHADEMA waachie 😂Huyo akipewa dau mara tatu ya alilopewa Msigwa anakimbia kambi
Pamoja mkuu.Umenena vyema kiongozi
Umeongea vizuri lakini ukumbuke vyama Tawala vingi sana Afrika likubali siasi za ushindani wa vyama vingi kwa shikizo toka nje yaani nchi za MagharibiChadema hata sisi tuliokuwa si wachambuzi na wadadavuaji wa mambo tayari tumeshagundua madhaifu yao kutoka juu hadi chini.
Chadema sio chama strong kama tulivyodhania kabla, chadema wana madhaifu sana kwenye uongozi, maslahi binafsi chadema ni zaidi ata kuliko ccm, kiongozi wa chadema haijalishi ana hadhi gani muda wowote anaweza kuamua chochote bila kuangalia nyuma yake kuna nani, chadema kuna unafiki kuliko siasa za mahali popote hapa Africa.
Ukiangalia msururu wa viongozi wa chadema kutoka Dr Salaa, zitto kabwe hadi kufikia sasa utagundua mambo mengi madhaifu yao nadhan labda hapa kama ntaandika ntajaza page zote za jamii forums.
Mbowe na tundu lissu naamini pasina shaka yoyote wamebaki chadema kutokana nafasi zao tu walizonazo otherwise na wao wangesharudi kujiunga na ccm mapema zaid ata kuliko huo msururu uliopita, chadema ni waongo sana hakuna dalili yoyote inayoonyesha wana nia ya dhati kuleta mageuzi ya kisasa tanzania wala kuwasaidia wananchi kutokana na idhilali ya utawala wa ccm mimi.
Kule zanzibar pia walikueko wanafiki wa kisiasa kutoka upinzani lakini haikuwa kwa kiwango hichi cha chadema na ni bahati mbaya sana watanganyika tulio na matumaini na upinzani kutukombowa tumelala usingizi wa pono, yaani hakuna chochote.
Mimi nadhan Tanzania sijui ni miaka mingapi ijayo lakini kunahitajika vyama vipya vya upinzani na watu wapya sio hawa tulionao. mambo ni mengi sana ukianza kufikiria siasa za tanzania, ata kenya mabo haya hakuna, uganda hamna, south africa hakuna sijuwi ni unafiki Tanzania umetokea wapi asili yake.
Maalim seif alikuwa kiongozi pekee wa upinzani Tanzania kuwahi kutokea nimejifunza hivyo.
😄 🤣Aha ha ha 😛
Jobless Lema bana.
Umeongea vizuri lakini ukumbuke vyama Tawala vingi sana Afrika likubali siasi za ushindani wa vyama vingi kwa shikizo toka nje yaani nchi za Magharibi
Hivyo kwa kuwa hawakuwa tayari na walikuwa waoga tangu wakati ule miaka ya 90 mambo haya yanaanza mpaka sasa bado wanapandikiza watu wao ndani ya vyama hivyo
Hapana mimi siamini hivyo, hayo maneno huja baada ya kutokea kilichotokea na kujifanya strong lakini ndani hakuna chochote ni maumivu una ubinafsi tu, kila mtanzania anaelewa kilichotokea kwa msigwa chadema, msigwa hakununuliwa amehama chadema kutokana na madhaifu ya chadema na ushahidi mzuri zaidi hata Tundu lissu naye aliisema chadema sana hivi karibuni kupitia chaguzi zao.Kwa mfano ndani ya CHADEMA watu makini ambao ni wapinzani wapo na mapandikizi pia yapo ndio maana ikifika kipindi wakistukiwa wanapigwa chini nafasi za uogozi na kukosa sifa za kuingia kwenye vikao vya maamuzi hapo ndio utaona wanarejea kwa muajiri wao wa kweli
MACCM MKASEMA CHADEMA ITAKUFA KABLA YA 2012 KUMBE ZITTO AKAENDA NA CHAMA KIPO KINATISHA CCM KWA MIKUTANO.Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless Lema aliandika kwenye mitandao yake ya kijamii kuunga mkono kauli hiyo ya Msigwa
Lema alisema hata yeye hana mpango wa kugombea tena uongozi wa kanda ya Kaskazini na kwamba atamfuata Msigwa huko aliko nje ya uongozi ili wakafanye siasa wote
Hatimaye pamoja na kauli ya Msigwa kuwa ataendelea kuwa kada mtiifu wa CHADEMA lakini amefanya maamuzi magumu ya kuhamia CCM na kwenda kufanya siasa zake za kutumikia Wananchi huko CCM, je Lema atamfuata huko huko CCM alikoahidi kuwa atafanyakazi na Msigwa nje ya uongozi?
Inaonyesha Msigwa na Lema ni Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao wameshachanga karata zao na kujipanga kufanya maamuzi magumu ya kuhama CHADEMA
Pia inaonyesha waliomshawishi Msigwa kwenda CCM ndio hao hao wako pia nyuma ya Lema na kwamba wamemtanguliza Msigwa kwanza ni swala la muda tu na Lema naye ataunga mkono juhudi wakati wake ukifika
Kuthibitisha hilo hata baada ya Msigwa kuasi CHADEMA na kujiunga CCM Lema bado anamlilia na kusema anatamani kuendelea kufanyakazi Msigwa
Ni swala la muda tu baada ya Mchungaji Msigwa kwenda CCM anayefuatia ni Lema kuondoka CHADEMA hatakama hatahamia CCM lakini atakwenda chama kingine cha upinzani
Huwezi kula nauli ya watu halafu useme siendi kama Zuchu, utakwenda tu wa bwana
Nimalizie kwa kusema "comasava"
Pia soma
Lakini WEWE ndiye CCM INA WENYEWE? Rejea clip ya MSUKUMA halafu utafakari ya akina Lijualikali.Hapana mimi siamini hivyo, hayo maneno huja baada ya kutokea kilichotokea na kujifanya strong lakini ndani hakuna chochote ni maumivu una ubinafsi tu, kila mtanzania anaelewa kilichotokea kwa msigwa chadema, msigwa hakununuliwa amehama chadema kutokana na madhaifu ya chadema na ushahidi mzuri zaidi hata Tundu lissu naye aliisema chadema sana hivi karibuni kupitia chaguzi zao.
Lazima ufahamu tanzania bado sana siasa, Kwenye majukwaa upinzani wanahubiri kuwasaidia wananachi lakini undani hasa ni kwamba kuna maslahi binafsi zaidi, naamini msigwa ameiacha chadema baada kuona hana nafasi yoyote ndani ya chama kiuongozi ni jambo limemuumiza sn amehamia ccm kwa hasira
mkuu mimi sina chama kwa kuhofia hayo hayo kuumizwa, ccm naichukia sana lakini tafakuri yangu bado hatujakuwa na upinzani wa kushika kuiondoa ccm madarakani, labda kidogo wakati wa maalim seifLakini WEWE ndiye CCM INA WENYEWE? Rejea clip ya MSUKUMA halafu utafakari ya akina Lijualikali.