Tetesi: Godless Lema kumfuata mchungaji Msigwa alipo

Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani, watanzania sisi tumezidi uoga
 
Umeongea vizuri lakini ukumbuke vyama Tawala vingi sana Afrika likubali siasi za ushindani wa vyama vingi kwa shikizo toka nje yaani nchi za Magharibi

Hivyo kwa kuwa hawakuwa tayari na walikuwa waoga tangu wakati ule miaka ya 90 mambo haya yanaanza mpaka sasa bado wanapandikiza watu wao ndani ya vyama hivyo

Kwa mfano ndani ya CHADEMA watu makini ambao ni wapinzani wapo na mapandikizi pia yapo ndio maana ikifika kipindi wakistukiwa wanapigwa chini nafasi za uogozi na kukosa sifa za kuingia kwenye vikao vya maamuzi hapo ndio utaona wanarejea kwa muajiri wao wa kweli
 

Hapana mimi siamini hivyo, hayo maneno huja baada ya kutokea kilichotokea na kujifanya strong lakini ndani hakuna chochote ni maumivu una ubinafsi tu, kila mtanzania anaelewa kilichotokea kwa msigwa chadema, msigwa hakununuliwa amehama chadema kutokana na madhaifu ya chadema na ushahidi mzuri zaidi hata Tundu lissu naye aliisema chadema sana hivi karibuni kupitia chaguzi zao.

Lazima ufahamu tanzania bado sana siasa, Kwenye majukwaa upinzani wanahubiri kuwasaidia wananachi lakini undani hasa ni kwamba kuna maslahi binafsi zaidi, naamini msigwa ameiacha chadema baada kuona hana nafasi yoyote ndani ya chama kiuongozi ni jambo limemuumiza sn amehamia ccm kwa hasira
 
MACCM MKASEMA CHADEMA ITAKUFA KABLA YA 2012 KUMBE ZITTO AKAENDA NA CHAMA KIPO KINATISHA CCM KWA MIKUTANO.
 
Lakini WEWE ndiye CCM INA WENYEWE? Rejea clip ya MSUKUMA halafu utafakari ya akina Lijualikali.
 
Lakini WEWE ndiye CCM INA WENYEWE? Rejea clip ya MSUKUMA halafu utafakari ya akina Lijualikali.
mkuu mimi sina chama kwa kuhofia hayo hayo kuumizwa, ccm naichukia sana lakini tafakuri yangu bado hatujakuwa na upinzani wa kushika kuiondoa ccm madarakani, labda kidogo wakati wa maalim seif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…