Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Wewe una nini hadi ufuatwefuatwe kwenye huo mji wako au unataka tu promo,hiyo ndio shida ya kuamuka na kimpumu.
 
Acheni kujikwaza nyie,hivi huoni mnayaleta wenyewe,mbona kulitulia baada ya mbowe kuwa mahabusu ametoka tu tunasikia malisa kavamiwa.Bado hujanote tuuuuuu.shaulizako mnazungukana wenyewe.
 
inaweza ikawa ngumu ku deal na hawa watekaji na huyo master minder wao. lakini wana familia zao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…