Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Unapokosa maarifa unakosa msimamo kama Tundu Lissu. Hivi sasa anatamani akawatetee akina Seth mahakamani.
Tatizo hamtaki kusikia wala kusoma, jibu hoja zake kama zipo, usiangalie mtu anatoa hoja.
 
Pole zake kwa maswahibu hayo yaliyompata.
 



Katika shida Polisi wanapigiwa simu kuombwa msaada, hali ikiwa shwari wanatukanwa matusi ya ajabu.

Tujenge utaratibu wa kuheshimiana.
 
Yaani ndio ameoa juzi tu hapa hamtaki afaidi maisha ya ndoa...nyie watu msiojulikana acheni hizo mambo za Ajabu..

[HASHTAG]#StayWell[/HASHTAG] Malisa Godlisten
 
Nadhan ni mida sasa kwa malisa afuate taratibu zote za umiliki wa silaha. Naona utayari pia kuwa na uamuzi wa kuyafuta maisha ya wavamizi wa aina hii... Iweje MTU umelala tena usiku mkubwa wanajitokeza watu... Nadhan tuwaite majambazi ati wanakuamuru ufungue mlango... Ili halafu wafanyeje??? Hatari Sana hii...
 
Mnajifanya makamanda wa midomo kumbe ni waoga ajabu.watu wameenda kuiba jirani nyie mnaharisha
 
Washazoea kukalilishwa na mashehe

Sent using unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…