Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu.

Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni salama na akamdanganya Rais kuwa wanaotekwa wanatengeneza drama unakuaje muungwana kwake? Acha wananchi waoneshe hisia zao. Wananchi wamemkataa na kuamua kumfurusha msibani, wewe kwanini unawatuliza? Kwanini unataka kuwa Mkatoliki zaidi ya Papa? Masauni hastahili uungwana huu.Mpaka leo hatujui walipo akina Soka na wenzake halafu anajileta kwenye msiba?

Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai? Na hata kama ni jinai si mnipeleke mahakamani? Kwanini mtuue?Sativa ametekwa na amewataja watekaji lakini Masauni hajachukua hatua yoyote.

Zipo familia nyingi ambazo zimepoteza wapendwa wao kwa madai ya kutekwa lakini Masauni yupo kimya. Leo wananchi wanamfurusha msibani, Mbowe unamuonea huruma? Huyu Masauni asiye na huruma na maisha ya watanzania wenzake, wewe unamhurumia kwa kufurushwa msibani? Ungemuacha ale matapishi yake.

Please don't be more Catholic than Pope, Mr. Chairman. Unatuvunja moyo. With due respect baba.

Pia Soma:
 
Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu.Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni salama na akamdanganya Rais kuwa wanaotekwa wanatengeneza drama unakuaje muungwana kwake? Acha wananchi waoneshe hisia zao. Wananchi wamemkataa na kuamua kumfurusha msibani, wewe kwanini unawatuliza? Kwanini unataka kuwa Mkatoliki zaidi ya Papa? Masauni hastahili uungwana huu.Mpaka leo hatujui walipo akina Soka na wenzake halafu anajileta kwenye msiba?

Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai? Na hata kama ni jinai si mnipeleke mahakamani? Kwanini mtuue?Sativa ametekwa na amewataja watekaji lakini Masauni hajachukua hatua yoyote.

Zipo familia nyingi ambazo zimepoteza wapendwa wao kwa madai ya kutekwa lakini Masauni yupo kimya. Leo wananchi wanamfurusha msibani, Mbowe unamuonea huruma? Huyu Masauni asiye na huruma na maisha ya watanzania wenzake, wewe unamhurumia kwa kufurushwa msibani? Ungemuacha ale matapishi yake.

Please don't be more Catholic than Pope, Mr. Chairman. Unatuvunja moyo. With due respect baba
Ni wakati sasa John Heche awe mwenyekiti wa Chadema Mbowe abaki kuwa mshauri tu hatuwezi kukunja mikono huku CCM ikitumia vyombo vya dola kuendelea kutumaliza. Tunahitaji kuchukua hatua ngumu zaidi ya kumuachia Mwenyekiti wa CCM achukue hatua kwa wale wanaokisaidia chama chake kuimaliza Chadema.
 
Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai?
Kama mtu ni mwanaharakati na anaogopa kufa ni bora tu akaachana na hizo harakati.
Kuwa mwanaharakati ni kujitoa mhanga.
Wakati mwingine unaweza kuchukiwa hata na kundi la wale unaowatetea
 
Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu.

Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni salama na akamdanganya Rais kuwa wanaotekwa wanatengeneza drama unakuaje muungwana kwake? Acha wananchi waoneshe hisia zao. Wananchi wamemkataa na kuamua kumfurusha msibani, wewe kwanini unawatuliza? Kwanini unataka kuwa Mkatoliki zaidi ya Papa? Masauni hastahili uungwana huu.Mpaka leo hatujui walipo akina Soka na wenzake halafu anajileta kwenye msiba?

Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai? Na hata kama ni jinai si mnipeleke mahakamani? Kwanini mtuue?Sativa ametekwa na amewataja watekaji lakini Masauni hajachukua hatua yoyote.

Zipo familia nyingi ambazo zimepoteza wapendwa wao kwa madai ya kutekwa lakini Masauni yupo kimya. Leo wananchi wanamfurusha msibani, Mbowe unamuonea huruma? Huyu Masauni asiye na huruma na maisha ya watanzania wenzake, wewe unamhurumia kwa kufurushwa msibani? Ungemuacha ale matapishi yake.

Please don't be more Catholic than Pope, Mr. Chairman. Unatuvunja moyo. With due respect baba.

Pia Soma:
Akae kimya kwani nani atamsumbua

USSR
 
Ni wakati sasa John Heche awe mwenyekiti wa Chadema Mbowe abaki kuwa mshauri tu hatuwezi kukunja mikono huku CCM ikitumia vyombo vya dola kuendelea kutumaliza. Tunahitaji kuchukua hatua ngumu zaidi ya kumuachia Mwenyekiti wa CCM achukue hatua kwa wale wanaokisaidia chama chake kuimaliza Chadema.
Vurugu hazifai na sizipendi kabisa ila kwenye hili nakuunga mkono 100% inatakiwa ifike time tupasuane kidogo ndo tutaheshimiana maana this is too much.
 
Masauni ameupata ukweli hata kama ameokolewa na Mbowe.

Mbowe nae ni kweli amezidi huruma, aache watu waoneshe hisia zao kwa hao wauaji wasio na huruma kwetu.

Hapa sasa inaonekana kabisa hii ndio dawa iliyobaki, upanga ulipwe kwa upanga tu, sio matamko kila siku wanayoyajibu kwa kuita drama.
 
Kila siku nasema humu.. Uharakati Tanzania ni mgumu.. ukiangalia hapo huyo Malissa hawazi tena kuhusu TANZANIA, KATIBA , MABADIRIKO anawaza WATOTO wake na Maisha yake itakuwaje.

Ifikie muda tuangalie familia zetu kwanza.. maswala ya kupambania watu ambao hawajielewi itakugharimu Maisha huku hao watu hawana habari wala msaada wowote na ww.
 
Back
Top Bottom