Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

Mimi nafikiri dawa ya awa wauaji na watekaji ni kuwaombea albadili au kurjuani, kwamba yeyote aliyeshiriki kupanga, kuteka, kuua, kutoa maagizo na wote wanaousika albadili na kurjuani iwasagesage isiache ata unyayo wa mtu wao na familia zao ili kusudi uchungu wanaoupata walioondokewa na ndugu zao na wao waupate vile vile nafikiri itasaidia, kwakuwa wanaotuhumiwa ndio hao hao wanaojichunguza ulishaona wapi upuuzi wa namna iyo? Yani mwizi ajikamate kwamba ameiba?
 
Mungu awabariki waombolezaji.
Sasa ni wazi Mungu ameweka uamsho ndani ya watanzania,wameacha kukaa kimya.. kila kona sauti zinapazwa.
 
Mtaje aliyemtaja
 
Mbowe aache tabia za upandre yeye anandekeza suluhu wakati watu wanapotea. Ujinga huu
 
I think each and everything now must be discussed 'behind the camera.'
 
"We were forced to install the Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe (MK) within ANC because the Government of White Minorities in South Africa was terrorising us ANC by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, the former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…