Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu.

Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni salama na akamdanganya Rais kuwa wanaotekwa wanatengeneza drama unakuaje muungwana kwake? Acha wananchi waoneshe hisia zao. Wananchi wamemkataa na kuamua kumfurusha msibani, wewe kwanini unawatuliza? Kwanini unataka kuwa Mkatoliki zaidi ya Papa? Masauni hastahili uungwana huu.Mpaka leo hatujui walipo akina Soka na wenzake halafu anajileta kwenye msiba?

Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai? Na hata kama ni jinai si mnipeleke mahakamani? Kwanini mtuue?Sativa ametekwa na amewataja watekaji lakini Masauni hajachukua hatua yoyote.

Zipo familia nyingi ambazo zimepoteza wapendwa wao kwa madai ya kutekwa lakini Masauni yupo kimya. Leo wananchi wanamfurusha msibani, Mbowe unamuonea huruma? Huyu Masauni asiye na huruma na maisha ya watanzania wenzake, wewe unamhurumia kwa kufurushwa msibani? Ungemuacha ale matapishi yake.

Please don't be more Catholic than Pope, Mr. Chairman. Unatuvunja moyo. With due respect baba.

Pia Soma:
Tanga mnanifurahisha sasa twende pamoja tuikatae CCM pande hizo zote.
 
Mbowe huenda naye baada ya kulamba asali amecompromize na situation Mimi ningekuwa mwenyekiti aidha wangeishanikamata na wangeniua au nchi ingekuwa inawaka moto saa hii

Ifike mahali chadema muamue liwalo na liwe historia itaandikwa

Kama kufa mtakufa tu. Kwa kutekwa kwa kufia kwenye maandamano au vyovyote vile

Mkimaliza msiba wa Mzee kibao tunataka kuona maandamano ya kumtafuta soka na wenziwe
 
Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu.

Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni salama na akamdanganya Rais kuwa wanaotekwa wanatengeneza drama unakuaje muungwana kwake? Acha wananchi waoneshe hisia zao. Wananchi wamemkataa na kuamua kumfurusha msibani, wewe kwanini unawatuliza? Kwanini unataka kuwa Mkatoliki zaidi ya Papa? Masauni hastahili uungwana huu.Mpaka leo hatujui walipo akina Soka na wenzake halafu anajileta kwenye msiba?

Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai? Na hata kama ni jinai si mnipeleke mahakamani? Kwanini mtuue?Sativa ametekwa na amewataja watekaji lakini Masauni hajachukua hatua yoyote.

Zipo familia nyingi ambazo zimepoteza wapendwa wao kwa madai ya kutekwa lakini Masauni yupo kimya. Leo wananchi wanamfurusha msibani, Mbowe unamuonea huruma? Huyu Masauni asiye na huruma na maisha ya watanzania wenzake, wewe unamhurumia kwa kufurushwa msibani? Ungemuacha ale matapishi yake.

Please don't be more Catholic than Pope, Mr. Chairman. Unatuvunja moyo. With due respect baba.

Pia Soma:
Mimi nimetazama live tukio zima la Waziri kuzomewa na kutakiwa aachie microphone 🎤 🎤 na kuondoka....

Changamoto ya Waziri huyu wa CCM Bw. Hamad Masauni ni kama ya Mch. Peter Msigwa, yaani alikosa hekima na busara...

Masauni alikosa busara kabisa ya kusoma mazingira na mood ya waombolezaji kisha ajue nini cha kuongea na nini si cha kuongea ktk mazingira ya wakati ule....

Lakini kwa ujinga wake huo wa kukosa busara, akajikuta kama kawaida ya ma-CCM kuleta mizaha ktk mazingira yasiyopaswa mizaha ama kejeli za kisiasa....

Hivyo yeye, katika namna ya kuwakejeli waliofiwa ndugu na wana - CHADEMA na waombolezaji wenye uchungu kwa kifo kibaya cha ndugu yao, Waziri akaishia kuzomewa na kutaka kukimbia kabisa. Busara za freeman Mbowe zikamrejesha na kumaliza hotuba yake. Huu ndio uongozi....

Upande mwingine sijaona kosa la Freeman Mbowe hata umlaumu. Alitumia mamlaka yake ku - restore order ktk msiba maana hakuna mwingine ambaye angeweza kutuliza hasira za waombolezaji wale.....

Na busara ilikuwa ni lazima Waziri amalize hotuba yake ili familia na waombolezaji wapate ujumbe ambao serikali ilimtuma huyo Masauni aulete...

Pia ilikuwa lazima kuheshimu taratibu za familia pamoja na utaratibu wa dini ya kiislamu....

Kusema kweli wananchi tuna hasira sana na matukio haya ambayo serikali ni kama haijali na kama inahusika. Aidha Waziri Masauni kama kiongozi wa ma - Police ni tatizo. Rais Samia Suluhu Hassan pia ni tatizo. Lakini matatizo haya hayawezi kutatuliwa kwa namna ile ya kuzomea na kuharibu taratibu za msiba na mazishi....

Freeman Mbowe alifanya vyema. Haistahili kulaumiwa...!!
 
Baba yake Mbowe alikuwa ni kada mtiifu wa CCM na mwenyewe mbowe ni CCM aliyejivika vazi la chadema
 
hiyo orodha ipo wapi ili watu wajijue, mwenye nayo airushe hapa.
 
Mimi nimetazama live tukio zima la Waziri kuzomewa na kutakiwa aachie microphone 🎤 🎤 na kuondoka....

Changamoto ya Waziri huyu wa CCM Bw. Hamad Masauni ni kama ya Mch. Peter Msigwa, yaani alikosa hekima na busara...

Masauni alikosa busara kabisa ya kusoma mazingira na mood ya waombolezaji kisha ajue nini cha kuongea na nini si cha kuongea ktk mazingira ya wakati ule....

Lakini kwa ujinga wake huo wa kukosa busara, akajikuta kama kawaida ya ma-CCM kuleta mizaha ktk mazingira yasiyopaswa mizaha ama kejeli za kisiasa....

Hivyo yeye, katika namna ya kuwakejeli waliofiwa ndugu na wana - CHADEMA na waombolezaji wenye uchungu kwa kifo kibaya cha ndugu yao, Waziri akaishia kuzomewa na kutaka kukimbia kabisa. Busara za freeman Mbowe zikamrejesha na kumaliza hotuba yake. Huu ndio uongozi....

Upande mwingine sijaona kosa la Freeman Mbowe hata umlaumu. Alitumia mamlaka yake ku - restore order ktk msiba maana hakuna mwingine ambaye angeweza kutuliza hasira za waombolezaji wale.....

Na busara ilikuwa ni lazima Waziri amalize hotuba yake ili familia na waombolezaji wapate ujumbe ambao serikali ilimtuma huyo Masauni aulete...

Pia ilikuwa lazima kuheshimu taratibu za familia pamoja na utaratibu wa dini ya kiislamu....

Kusema kweli wananchi tuna hasira sana na matukio haya ambayo serikali ni kama haijali na kama inahusika. Aidha Waziri Masauni kama kiongozi wa ma - Police ni tatizo. Rais Samia Suluhu Hassan pia ni tatizo. Lakini matatizo haya hayawezi kutatuliwa kwa namna ile ya kuzomea na kuharibu taratibu za msiba na mazishi....

Freeman Mbowe alifanya vyema. Haistahili kulaumiwa...!!
Kwenye misiba ya ndugu zao kweli wangefurahi kutokea uwanja wa mapambano na mauwaji?
 
Ningekuwa mimi ningejiunga zangu CCM..huu ujinga wa kuwa upinzani chini ya Mbowe ni ukondoo. Malisa akajiunge zake CCM,aachane na hizo harakati uchwara..watoto wake bado wanamuhitaji
 
Ni wakati sasa John Heche awe mwenyekiti wa Chadema Mbowe abaki kuwa mshauri tu hatuwezi kukunja mikono huku CCM ikitumia vyombo vya dola kuendelea kutumaliza. Tunahitaji kuchukua hatua ngumu zaidi ya kumuachia Mwenyekiti wa CCM achukue hatua kwa wale wanaokisaidia chama chake kuimaliza Chadema.
Suali lakujiuliza.
Kwanini wafanye mchana kweupe?
Kwanini wafanye mbele zawatu.?
Nikama vikosi maalum wangefanya siri, na kama wana mtaka mara moja wangepata. na maiti isingeonekana.

Tutafakari
 
Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu.

Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni salama na akamdanganya Rais kuwa wanaotekwa wanatengeneza drama unakuaje muungwana kwake? Acha wananchi waoneshe hisia zao. Wananchi wamemkataa na kuamua kumfurusha msibani, wewe kwanini unawatuliza? Kwanini unataka kuwa Mkatoliki zaidi ya Papa? Masauni hastahili uungwana huu.Mpaka leo hatujui walipo akina Soka na wenzake halafu anajileta kwenye msiba?

Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai? Na hata kama ni jinai si mnipeleke mahakamani? Kwanini mtuue?Sativa ametekwa na amewataja watekaji lakini Masauni hajachukua hatua yoyote.

Zipo familia nyingi ambazo zimepoteza wapendwa wao kwa madai ya kutekwa lakini Masauni yupo kimya. Leo wananchi wanamfurusha msibani, Mbowe unamuonea huruma? Huyu Masauni asiye na huruma na maisha ya watanzania wenzake, wewe unamhurumia kwa kufurushwa msibani? Ungemuacha ale matapishi yake.

Please don't be more Catholic than Pope, Mr. Chairman. Unatuvunja moyo. With due respect baba.

Pia Soma:
Bora Lissu amegoma kujitokeza
Lissu amtoe mbowe kwwenye uwenyekiti
 
Kwenye misiba ya ndugu zao kweli wangefurahi kutokea uwanja wa mapambano na mauwaji?
Sijakuelewa...

Statement yako ina - refer misiba ya kina nani hao....?

Ya waombolezaji waliomzomea Waziri au misiba ya kina Masauni na wenzake...?
 
Back
Top Bottom