figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.kwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
Malisa amesema;
1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia
5. Alipelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.
View attachment 3661160
MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.
kwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
kwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
Kwa nini wewe usichuke wazazi wako ukaishi huko? Nyie ******* siku yenu inakujakwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
Ukishamaliza kumtisha Sativa, sasa hutaki hata Malisa naye atulie nchini mwake Tanzania! Shida ni nini Mkuu mpaka unataka watu wawe wakimbizi!? Wamekukosea nini!? Kama kuna kitu wamekukosea, mbona waliomkamata wamemuachia!? Sio Poa.kwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
nchi ya kwako hii wee falakwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
Abdul hapo wambea(paparazzi) wamefelisha mission yake.Malisa amesema;
1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia
5. Baadaye akagundua kapelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala yeye na watu wengine asiowafahamu.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.
View attachment 3661160
MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.
Unarudi bongo kufanyaje , baada ya kuondoka , kwani umekosa nn ?Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.
Imagine kinga ingetumika hapa.
Fala ni wewe , mbwa koko , muoga kabisa ...Afuate sheria za nchi , huko utumwani kwani kafukuzwa , hii ni baada ya USA kufikria kuondoka uraia wa asylum seeker , hata humu jf hiyo hbari haipo ; ujue jf ni mamluki wale wa fordnchi ya kwako hii wee fala
Mimi ni mzalendo , nwafundisha adabu , wengi wenu waoga, harakati sio lelemama kama mnavyojificha hapa ..Naendelea kukupa ushauri , serikali ina nguvu so uwe na Godfather unapotukana .Ukishamaliza kumtisha Sativa, sasa hutaki hata Malisa naye atulie nchini mwake Tanzania! Shida ni nini Mkuu mpaka unataka watu wawe wakimbizi!? Wamekukosea nini!? Kama kuna kitu wamekukosea, mbona waliomkamata wamemuachia!? Sio Poa.
Sasa unawafundisha adabu au unawatisha Mkuu!? Samahani Godfather wa Ndugu Malissa ni nani!?Mimi ni mzalendo , nwafundisha ajabu , wengi wenu waoga, harakati sio lelemama kama mnavyojificha hapa ..Naendelea kukupa ushauri , serikali ina nguvu so uwe na Godfather unapotukana .
Kuna mambo mengi,hivi ni kweli kwamba kuna kikundi cha polisi kinafanya hivyo? Je,si kwamba kuna kundi la mafias wanafanya hivyo ili kuifarakanisha serikali na wananchi? Kuna mengi,ila hipo siku tutajuaHii ilikua failed mission , pongezi sana kwa aliyerekodi muda wanamkamata na gari walilomkamatia na kusambaza hii ndio imesaidia vinginevyo vibaka wa policcm wangempoteza huyu kijana.