Pre GE2025 Godlisten Malissa wa CHADEMA: Hatuwezi kuwa na chama cha watu wanaotukana na wadhalilishaji

Pre GE2025 Godlisten Malissa wa CHADEMA: Hatuwezi kuwa na chama cha watu wanaotukana na wadhalilishaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ANAANDIKA Mh LISSU

Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.

A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.

While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.

And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
We call upon the so called activists be punished in any possible way.
 
Wakuu,

Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa siku ya leo Jumapili Januari 12, 2025.amezungumza katika mkutano wa wanahabari uliofanyika mkoani Dar es Salaam

Malissa amezungumza mambo mengi kuhusu CHADEMA ikiwemo na uwepo wa wapambe ndani ya chama hicho akisema

"Tumekuwa na wapambe wa wagombea ambao wamekosa nidhamu kwa chama (CHADEMA) na wagombea ambao hawawaungi mkono, sasa kwa mujibu wa mwongozo wa taratibu za kuendesha uchaguzi ndani ya chama toleo la mwaka 2012 kifungu cha 2 (3) kinasema 'itakuwa ni marufuku kwa mgombea ama wapambe wake kusambaza taarifa zenye lengo la kukashifu mgombea au kiongozi wa chama'.

Ameongeza kwa kusema:

"Sasa pamoja na zuio hilo, tumeshuhudia uwepo wa maneno makali, ya kashfa, matusi ambayo yamekuwa yakitolewa kwa pande zote ambazo zinashiriki katika huu uchaguzi, na isivyo bahati ni kwamba yapo maneno ambayo mengine hayana staha yametumika kwa viongozi wetu na hapa sizungumzii upande mmoja"

"Tumeshuhudia baadhi ya watu wanajiita wanachama na ni wapambe wa wagombea wakitumia maneno kama fulani ni mropokaji, amehongwa, dalali, mbeba mikoba. Sasa hatuwezi kuwa na chama cha siasa watu wanatumia maneno na lugha zisizofaa katika kutafuta kura. Mimi binafsi siamini kuwa kudhalilisha upande mmoja kunakusaidia kupata kura za upande wa pili"

Source: Jambo TV, Habari Mpya
Wakitukana watu wa vyama vingine wanaitwa makamanda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Vijana wa Chadema huwa hawaeleweki kabisa wana nini kichwani.
 
Jamaa kaamua akae njia panda.
 
"Matusi na kuchafuana" ni sehemu ya demokrasia na uhuru wa habari. Huwezi kulinda uhuru wa kujieleza bila kulinda "Watukanaji na wazushi." Kama kuna mtu anaona kachafuliwa jina aende yeye binafsi mahakamani. Taasisi haipaswi kuingilia habari za kuchafuana na kutukanana.
 
Malisa ni mnafiki na mpenda ukabila sana. Kwenye post zake huwa anamalizia na matusi ya kichaga. Huyo ni mtu wa kupuuzwa.
 
Team Lisu wafukuzwe kwenye chama , watoto wana matusi sana, hawana staha wamechanganyikiwa kabisa.
 
Back
Top Bottom