Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😅😅😅hicho ndicho watu wanataka kufahamu tu.Team gani huyu? Lissu au Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅hicho ndicho watu wanataka kufahamu tu.Team gani huyu? Lissu au Mbowe
Hapana Mkuu, tulumbane kwa hoja anasema Kashfa na maneno makali sasa kashfa ya RUSHWA au kashfa nyingine?!Kama ni team mbowe atupishe
Team chademaTeam gani huyu? Lissu au Mbowe
We call upon the so called activists be punished in any possible way.ANAANDIKA Mh LISSU
Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.
A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.
While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.
And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
CCM wote ni majuhaCHADEMA wote ni MAJAMBAZI.......
Just imagine watu wooote walikufa au kuuwawa wakipambania chama kumbe ni SACCOS.....
INAKERA SAASNA
Kumbe Malisa ndo Retired 🤣🤣🤣
People'sssssssss!Kiukweli inauma sana. Wazungusha mikono wote walee kumbe walikuwa wanapambania saccos ya mtu.
Wakitukana watu wa vyama vingine wanaitwa makamanda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Vijana wa Chadema huwa hawaeleweki kabisa wana nini kichwani.Wakuu,
Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa siku ya leo Jumapili Januari 12, 2025.amezungumza katika mkutano wa wanahabari uliofanyika mkoani Dar es Salaam
Malissa amezungumza mambo mengi kuhusu CHADEMA ikiwemo na uwepo wa wapambe ndani ya chama hicho akisema
"Tumekuwa na wapambe wa wagombea ambao wamekosa nidhamu kwa chama (CHADEMA) na wagombea ambao hawawaungi mkono, sasa kwa mujibu wa mwongozo wa taratibu za kuendesha uchaguzi ndani ya chama toleo la mwaka 2012 kifungu cha 2 (3) kinasema 'itakuwa ni marufuku kwa mgombea ama wapambe wake kusambaza taarifa zenye lengo la kukashifu mgombea au kiongozi wa chama'.
Ameongeza kwa kusema:
"Sasa pamoja na zuio hilo, tumeshuhudia uwepo wa maneno makali, ya kashfa, matusi ambayo yamekuwa yakitolewa kwa pande zote ambazo zinashiriki katika huu uchaguzi, na isivyo bahati ni kwamba yapo maneno ambayo mengine hayana staha yametumika kwa viongozi wetu na hapa sizungumzii upande mmoja"
"Tumeshuhudia baadhi ya watu wanajiita wanachama na ni wapambe wa wagombea wakitumia maneno kama fulani ni mropokaji, amehongwa, dalali, mbeba mikoba. Sasa hatuwezi kuwa na chama cha siasa watu wanatumia maneno na lugha zisizofaa katika kutafuta kura. Mimi binafsi siamini kuwa kudhalilisha upande mmoja kunakusaidia kupata kura za upande wa pili"
Source: Jambo TV, Habari Mpya
🫵 ni 🌈We call upon the so called activists be punished in any possible way.
Jamaa kaamua akae njia panda.Wakuu,

Kwahiyo anasemaje sasaHapana Mkuu, tulumbane kwa hoja anasema Kashfa na maneno makali sasa kashfa ya RUSHWA au kashfa nyingine?!
"Maneno makali" ni nini?
Matusi hayafai matusi ni jinai.
Ni mjinga kuliko Mmbwa KOKOMalisa ni mnafiki na mpenda ukabila sana. Kwenye post zake huwa anamalizia na matusi ya kichaga. Huyo ni mtu wa kupuuzwa.
sasa hapa nausikaje? To me lisu ni mropokji....kusema mambo/tuhuma ambayo huna ushahidi nayo...kutoa siri za ndani....