Kama kila kitu ni chema hakuna ubaya kwanini kuna jehanamu?Kumbe hujanipata pointi yangu....... pointi yangu ni kwamba kila kitu ni chema, kiko na kusudi jema.
Huo unaoita uovu ni mbaya na haufai ----- ni kitu chema! yote memaa
Ukweli upo, na ndani ya huo ukweli kuna kweli binafsi na zote zipo logical hata kama zipo kinyume na kila moja. Ili utumie logic lazima uingie katika upande fulani kwa kuikubali premise yake [mnaita a-priori]. So wakati unafanya maamuzi hautumii logic unatumia freewillUkikataa logic umekataa ukweli
Huyo uliye mtag alijifanya kukataa logic lakini hajui hata logic ni nini
Upo na kusudi fulani. Hivyo ukijumlisha ukagawanya vyoote unakuta ni vyema vina kusudi jema.Ulimwengu uliopo unathibitisha vipi Mungu yupo? Hebu dadavua hapo tupachambue.
Kuna kusudi kwa kila jambo, na sio kwamba linaletwa na Mungu peke yake. La.Mungu wako anapenda watoto wanaokufa kwa njaa na utapiamlo wafe hivyo?
Kwa nini unaniuliza sitaki au nataka nini mimi, wakati hoja ni logical consistency ya Mungu wako?
Bado unafikiri ki-utoto na kujipa majukumu ya ki-baba kufanya maamuzi ya namna ya kuwasimamia watoto, wewe ukiwamo! Bado hatujakua kufikia hapo.Kama kila kitu ni chema hakuna ubaya kwanini kuna jehanamu?
Kwanini katoa 10 commandments za kuwahasa msifanye uovu?
Kumtetea Mungu kuonesha yupo bila kuepuka mikanganyiko ni ngumu sana
Ona sasa umejitahidi kubalance freewill na Mungu viambatane pamoja matokeo yake umejikuta unakuwa muongo
Ukitaja ukweli umeitaja logic, ukipinga logic umepinga ukweliUkweli upo, na ndani ya huo ukweli kuna kweli binafsi na zote zipo logical hata kama zipo kinyume na kila moja. Ili utumie logic lazima uingie katika upande fulani kwa kuikubali premise yake [mnaita a-priori]. So wakati unafanya maamuzi hautumii logic unatumia freewill
Unapotakiwa kuchagua baina ya kweli mbili ndio tunaita freewill.
Tofauti na hapo ndio ni kusoma usahihi na u-sio sahihi kulingana na ukweli fulani, kulingana na premise uliyoichagua. Ukweli binafsinunautengeneza wewe na logic na fallacy zitategemea ukweli wako ni upi?
Kulingana na premise ipi? kulingana na ukweli upi? Hilo ndio swali. Ukweli wote upo na ukweli ninafsi ndio tunaouishi na kila mwenye akili timamu anafuata logic za ukweli wake.Ukitaja ukweli umeitaja logic, ukipinga logic umepinga ukweli
We ndiye unafikiri kitoto kwa kum compare mwalimu ambaye anatumia viboko kuwa adhibu wanafunzi kwasababu hana ujuzi wote wa kuwafanya wanafunzi waelewe kama alivyofundisha, mwalimu huyo unamfananisha na Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote ambaye anajua njia zote za kumfanya mtu aelewe bila adhabuBado unafikiri ki-utoto na kujipa majukumu ya ki-baba kufanya maamuzi ya namna ya kuwasimamia watoto, wewe ukiwamo! Bado hatujakua kufikia hapo.
Hauna tofauti na watoto waliokaa kikao shuleni/nyumbani halafu waseme viboko havina faida yoyote. Wote tunajua viboko vinaumiza lakini je? Viboko kwa mtoto sio kitu chema?
Purpose is the king. Kusudi, kusudi, kusudi.
Kwa hiyo nikisema kitu ni chema simaanishi vile kilivyolivyo at face value. La. Bali tunaangalia kusudi lake.
Mtu anayetenda kinyume na wema na akapokea kitu kinachoendana na matendo yake hicho ni kitu chema kwake. Mtu amekataa uhai na akafa kweli, wewe nani hata useme amepata kitu kibaya. Mungu mwenyewe hatuchagulii pa kwenda leo wewe ndio umchagulie mtu hata kama hataki. Mtu amekataa kuwa karibu na Mungu, wewe unamchukua unamuweka karibu na Mungu huoni kama unampa shida? Na ki kwake hiyo pia ni jehanamu tosha kama hujui.
Halafu jehanamu yaweza kuwa ni concept tu ya kifo don't take it too literal man. Wanaomkataa Mungu yawezekana wakacease to be tu, wakaacha kuishi baada ya hapa wala wasijue lolote litakaloendelea yaani badala ya kuendelea kuishi uweponi mwa Bwana wakajikata na kupotea zzip, bassi hivyo tu sambamba na walichokiamini kwamba ndio uhalisia uliopo. Kwa hiyo ki kwao hicho ndio kitu kizuri all along.
Kulingana na logic, kitu chochote kilichopitia logic kika pass hicho ni kweli kinyume chake ni illogic na ndio uwongoKulingana na premise ipi? kulingana na ukweli upi? Hilo ndio swali. Ukweli wote upo na ukweli ninafsi ndio tunaouishi na kila mwenye akili timamu anafuata logic za ukweli wake.
Anaweza kuzikataa na kuamua kutumoa logic za upande mwingine. Point ya katikati anaposwith pande hapatumiki logic maana hakuna premise yoyote. Inatumika free will
Kama ulidanganywa kuwa kuwa na uwezo wote ni kufanya kila kitu kwa wanaokutegemea, jifunze upya.We ndiye unafikiri kitoto kwa kum compare mwalimu ambaye anatumia viboko kuwa adhibu wanafunzi kwasababu hana ujuzi wote wa kuwafanya wanafunzi waelewe kama alivyofundisha, mwalimu huyo unamfananisha na Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote ambaye anajua njia zote za kumfanya mtu aelewe bila adhabu
Labda kwasababu ulishasema huitaji logic na ndio maana mifano mibovu kama hii umekuwa ukiitumia
Ni muda muafaka sasa uelewe kwamba kuna kweli nyingi mno. In fact idadi ya chini ya ukweli ni idadi ya watu wanaojitambua dunia nzima - Mabilioni ya kweliKulingana na logic, kitu chochote kilichopitia logic kika pass hicho ni kweli kinyume chake ni illogic na ndio uwongo
Kulingana na ukweli upi ndio nini?
Hapo unakuwa umeandika nini?
Kama unakuwa limited unakuwaje muweza wa yote?Kama ulidanganywa kuwa kuwa na uwezo wote ni kufanya kila kitu kwa wanaokutegemea, jifunze upya.
Kama wewe ni mkubwa wazo zuri ni kuruhusu na wengine wakue, waufurahie utoto hadi utu uzima.
Kwa hiyo pendekezo lako ni bora tungekuwa kopi ya Mungu tu mojakwamoja ili tusihitaji chochote? Ndiyo maana nikahisi katika reality yenu hata maisha/life ni kitu kibaya kwenu. Good life is not doing nothing, actually doing nothing is a definition of death kama hujui.
Logic natumia sana tu sema huzin'gamui kwa sababu ya ukweli uliouchagua
Nikisema Mimi ni Mungu na ndiye niliyemuumba Mungu wako ambaye nikaja kumuua na hiyo ni logic unapaswa kukubali na kuanzia saizi unatakiwa uniabudu utakubali?Ni muda muafaka sasa uelewe kwamba kuna kweli nyingi mno. In fact idadi ya chini ya ukweli ni idadi ya watu wanaojitambua dunia nzima - Mabilioni ya kweli
Kuhusu logic ipo hivi:
Mungu yupo ni premise ni ukweli katika dunia B
Mungu hayupo ni premise ni ukweli katika dunia A
Nikisema tunashuhudia uumbaji wa mungu ninakuwa logical katika dunia B na illogical katika dunia A.
Kwa hiyo nilichokisema kinaweza kuwa kweli au si kweli kulingana na anayesikia anatoka katika dunia gani kati ya hizo. Dunia hizi mbili zina interaction kubwa tu katika mambo yake
Ona sasa, kwa wazo lako Mungu anakufa! anakufaje kabla ya alivyoviumba vyote kufa.Nikisema Mimi ni Mungu na ndiye niliyemuumba Mungu wako ambaye nikaja kumuua na hiyo ni logic unapaswa kukubali na kuanzia saizi unatakiwa uniabudu utakubali?
Now nipe sadaka yako, mimi ni Mungu nimesema
Hayupo limited, ni kwamba hiki anachokifanya ni sehemu ya kupenda kwake pia.Kama unakuwa limited unakuwaje muweza wa yote?
Kwanini asife wakati yeye hana ukuu kunizidi mimi niliyemuumba?Ona sasa, kwa wazo lako Mungu anakufa! anakufaje kabla ya alivyoviumba vyote kufa.
In Him we live move and have our being, kama ulimuua basi tulishakufa nae wote wakati huo.
Kwa wazo lako Mungu anahitaji sadaka!? Mungu hahitaji chochote kutoka kwa waja wake. Anachopenda yeye ni kuyatii mapenzi yake ambayo moja ya mapenzi yake ni sisi kupendana na kutumikiana.
Mimi siongelei demand naongelea jambo ambalo halipingani na sifa zake.Hayupo limited, ni kwamba hiki anachokifanya ni sehemu ya kupenda kwake pia.
Hizo challenge za ooh badili mawe kuwa mkate, au jirushe wakudake zinafanana na hizo demand unazosema.
Ni ndani ya mpango wake mambo yaende hivi yanavyoenda, je? wewe ni nani hata umpangie cha kufanya? A abort mpango wake ili kukufurahisha wewe? Acha tuishi bhana wee wengine tunapenda.
Hata hivyo dunia ya watu hawafanyi chochote ipo huko ndio kwenye kufa. Kama utachagua maisha jua tu yatahusisha kukua kiumbo, kiakili, kiuzoefu, kiuelewa siku zote na maisha yote milele kutakuwa na kuendelea kupambana na changamoto za hapa na pale
Ni sehemu ya wewe, umejisikia kugeuka maana umejitambua kuwa umechoka kulalia huo upande na mwishowe umeamua[pasi na kujitambua] kugeukaUnapokuwa usingizi umelala hujitambui ukajigeuza upande wa pili pasina kujielewa, hiki kitendo kinahesabiwa ni kitendo cha kutaka au kutokutaka? Yaani umekifanya kwa chaguo au umefanyizwa?
Na nikiwa nimejilaza katika hali ya kuwa macho nikijitambua nikaamua kujigeuza upande wa pili, hiki kitendo nilichokifanya kwa hiari na nikiwa najitambua kinahesabika ni kutaka au kutokutaka?
Inavyoonekana baadhi ya wachangizi eidha hawajui tofauti ya vitendo vya hiari na visivyo vya hiari au wanajua lakini hawajui katika mizani ya hukumu vitendo hivyo viwili vinahukumiwaje
Akifa anakufa na vyote alivyoviumba maana muungu ni wa mwanzo na wa mwisho kwa viumbe wakeKwanini asife wakati yeye hana ukuu kunizidi mimi niliyemuumba?