God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

I totally agree, this is the code we live by.

Mtu binafsi au matendo binafsi yanajikamilishamenyewe katika mlolongo huo huo wa ukamilifu wake. Kuna sehemu nilisoma kuwa a sin carries within itself the seeds of its own destruction

Mfano nikaishi nikiamini katika kutokuwepo katika sio-maisha mwisho wa siku inajisolvu kwenye kifo kiotomati katika uhalisia huo wa kutoamini. Dhambi zote huweza kusamehewa isipokuwa kumkufuru Roho wa Mungu/Mungu. Kwa namna hiyo mkana Mungu []yupo hivyo ni logical na ataushi ukamilifu wa logic za namna hiyo na huo ni UKWELI. Ungekuwa uongo au illogical hicho kitu cha ukana Mungu kisingekuwepo kabisa!!

Lakini ikitokea mtu akaishi akaziishi logic za kuendana na uwepo na maisha mwishoni inajisolvu kiotomati kwenye uzima sambamba na logic zake.

Nahisi we jamaa umefanikiwa kuonesha jinsi mfumo mzima [LOGIC]hauna baya na mtu ni kila jambo linakamilishwa kutokana na logic zake. Kwa baadhi ya mambo ni kutokana na utashi wetu katika kuyaanzisha halafu mfumo unakamilisha bila khiyana. Respect.

Feel free kuweka sawa POINT ambazo sijaenda sawa. Naamini chuma hunoa chuma
Big up bro, nimefatilia huu mjadala kuanzia mwanzo, unachosema ndio kweli yenyewe, hii debate kuuuuubwa ila at the end ulichoandika ndicho Yesu alisema niaminini hakika mtaishi, akasema tena Mungu sio wa wafu bali walio wazima.
THANKS BRO.
 
Acha hizo bhana hivi Mimi kujua unaenda kupata ajali nimekuamulia au wewe uliamua kuendesha spidi.

Mkuu kitendo cha kujua nini kitatokea mbeleni katika kila Kitu ulimwenguni maana yake ni kwamba ulimwengu huu na vyote vinavyotokea vimekua scripted/programed (ndio maana anajua)

Ni kama vile director wa movie ya Royal Tour anajua kilakitu kabla hata huja play movie yenyewe

Na kwamba Hittler hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaua Wayahudi kwasababu alikua scripted kufanya vile

Yanayotokea Gaza au Ukraine hayana budi kutokea

Kwamba mimi hapa najadili na wewe hapa Jf kwenye mada hii muda huu kwasababu imekua scripted hivyo

Kwamba mauovu yote haya duniani hayana budi kutokea kwasababu yamukua scripted hivyo...... and ALMIGHTY GOD KNOWS BUT HAS NOTHING TO DO ABOUT IT, karuhusu yatokee tu

Na mwisho wa siku atakwenda kututia kibiriti kwenye moto wa MILELE kwasababu tumekua scripted kufanya tuliofanya

Kuamini UJINGA kama huu lazima uwe na shambulio la akili linalo itwa IMANI YA MUNGU

Free will kwa binadamu ipo na iko limited kulingana mazingira yanayo mzunguka capability yake nk
Lakini sio MUNGU kwasababu HAYUPO
 
Uthibitisho wa wa uwepo wa kitu hautegemei hisia tano za Mwanaadamu! Bali upo zaidi ya hapo!
Mfano: Umeliona dude ambalo hukuwahi kuliona katika Maisha yako.
Macho yameliona, Mkono wako umeligusa, Masikio yako yamesikia sauti ambayo haikuwahi kusikia kabla,pua yako imenusa harufu yake ambayo hujawahi kusikia kabla, Ulimi wako ukaramba ukapata taste ambayo hukuwahi kuipata kabla!
Je hicho ni kitu gani?
Hapo unaweza kuelewa kwamba unaweza kutumia hisia tano bado bado zisitoe majibu ya kujua kitu usicho kijua!.
Wakati hujui hicho ni kitu gani baada ya kupitisha kwenye hisia tano bila kupata Majibu Mara BOOM!! huna vidole vitatu!
Hapo Sasa ndiyo unatambua kuwa kuwa ni bom!
Nini kimekujulisha na kukupa Majibu baada ya hisia tano kukosa Majibu?
Ni Matokeo!.

Matokeo ndiyo Jambo kubwa la kumjulisha Mtu juu ya uhalisia wa kila kitu na utambuzi wake upo akilini,
Hisia tano ni nyenzo za usaidizi ambazo nazo hupeleka katika utambuzi mkuu AKILI.
AKILI huhifadhi kila taarifa iletwayo kupitia hisia tano na lakini yenyewe inaleta ufahamu mpana zaidi wa kile kilicho wasilishwa kwake.

Mfano: Macho yameona Mtu anakuja,Picha ya mtu anakuja inatumwa kwenye akili,
Jicho limefanya kazi yake ya kuona na kutuma picha,Akili imepokea na kutambua kweli Mtu anakuja!
Lakini akili inaweza kwenda mbali zaidi ya picha ile kwa kujua sababu za kuja kwa Mtu yule kwa sababu ya uzoefu uliyo letwa na Matukio!


Macho yako yanaweza kuona kile yanacho weza kuona!
Kile yasicho weza kuona haimaanishi kuwa hakipo,
Kwa sababu Kuna vitu vipo na unakubali vipo bila kuviona kwa macho!.
Pua yako inaweza weza kunusa vile inavyo weza kunusa, haimaanishi kile amabcho hukuweza kukinusa hakipo!
Mfano: Mbwa anaweza kunusa harufu ya nyayo za Mtu na kumfuata Mpaka mahali alipo.
Wakati wewe huwezi kupata harufu hiyo.
Hii inakujulisha kuwa hisia yako ya kunusa haiwezi kuwa msaada wa kujua kila kitu.harufu ipo ila wewe ndiyo huna sifa ya kufikia uwezo kunusa kila kitu.
Hii ni mifano ya kukuonyesha udhaifu wa hisia tano za Mwanaadamu!

Akili salama inakubali kuwa kila kitu chenye kufuata kanuni maalum na kuleta Matokeo na nidhamu ya kueleweka nyuma yake Kuna kuwa na chanzo (sorce) chenye kupanga nidhamu hiyo!.

Leo hii ukiutazama Muundo wa simu! huwezi kukubali kwamba ni kitu kilicho jiunda chenyewe kwa bahati!
Unakubali kuwa nyuma ya Muundo huu wa simu Kuna mtaalamu aliye unda!
Je! ni mara ngapi umehitaji kumuona muundaji wa simu ili kuthibitisha kwamba simu imeundwa?.
Je! Ukiiona sura yake ni kitu gani kupitia sura hiyo kitakacho kujulisha kwamba yeye ndiye aliye unda?.
Ikiwa akili inarudhika na kukinai kwamba simu imeundwa na yupo aliye iunda bila kumuona!
Kitu gani kinacho kufanya uache kuangalia nidhamu ya Muundo wa ulimwengu kuweza kutambua kuwa yupo aliye Umba?.

Leo hii unaweza kuona Kuna mti wa matunda unazaa ndani ya Mwaka mmoja! Wakati katika nature yake ulikuwa unaanza kuanzia Miaka 10,
Mtu alikaa Maabara akaichakata mbegu ikaleta nidhamu hiyo!
Leo ukifanya utafiti nini chanzo cha Mwembe wa mbegu ya Muda mfupi kwa kuutafiti Mwembe wenyewe! Utaishia kugundua kuwa mwembe huo umetokana na Mbegu yenye sifa fulani ,Ambayo ilikuwa kwenye udongo baada ya kipindi fulani ukachepusha mche ukatoa majani na Mauwa yakatoa matunda,
Na matunda yakiiva yanaanguka Tena kwenye udongo yanafuata mchakato ule ule wa kutoa miche na kuzalisha miembe Mingi.
Utafiti huu wa Mwembe upo sahihi kuonyesha chanzo lakini bahati mbaya yule mtaalamu wa maabara aliye itengeneza mbegu hiyo iliyo fanya hayo yanayo onekana hawezi kuonekana kwa vifaa vyako vya utafiti!
Ataonekana kwa jicho la akili na tafakari! Kwamba hakuna kitu ambacho kinaweza kufuata nidhamu maalum bila kuwepo kwa mpangaji wa nidhamu hiyo!.

Tazama muundo wa ulimwengu na vilivyomo utajua kuwa lazima yupo aliye umba.
Huyo ndiye Mungu.

Nathibitisha vipi kuwa yupo?

Nathibitisha uwepo wake kuwa yupo kwa sababu ya kuangalia Muundo wa ulimwengu na vyote vilivyomo kwa sababu vinafuata nidhamu isiyo wezekana kutokea kwa bahati nasibu..

Nakupa tafakari Moja!

Uchi wa mwanamke uliumbika kabla ya kuingiliwa!
Alikuwa na fuko la uzazi kabla ya kupata mimba!
Alikuwa na chuchu za kunyonyesha kabla ya mimba yake!.

Je! Uke wake haukumbika maalumu kupokea uume wa nje yake?
Je! Fuko la uzazi halikuundwa maalum kwa ajili hiyo?
Je! hakuhitajia mbegu ya uzazi kutoka nje yake ili kutunga mimba?.
Kwa nini wakati Mtoto yuko tumboni chuchu za mwanamke zinaandaa Maziwa kwa ajili ya Mtoto?
Je! Maziwa ya mama si maalum kwa Mtoto wake?

Sasa jiulize kwa nini Maandalizi sahihi yanatangulia kuwepo kabla ya kilicho kusudiwa kuwepo tayari?
Je! Ni bahati nasibu inaweza kupanga utaratibu huu?
Au yupo Mtaalamu aliye weka maandalizi na nidhamu ya kila kitu?

Sasa uwepo wake unataka uthibitike kwa lipi?.

Mkuu umetumia ufahamu wa akili yako kujenga hoja ya uwezekano wa uwepo wa Mungu

Lakini umeshindwa KUTHIBITISHA uwepo wa Mungu

Hoja zako zote zitaishia kuzalisha hoja nyingine.... Mungu naye chanzo chake ni nini?
 
Mkuu kitendo cha kujua nini kitatokea mbeleni katika kila Kitu ulimwenguni maana yake ni kwamba ulimwengu huu na vyote vinavyotokea vimekua scripted/programed (ndio maana anajua)

Ni kama vile director wa movie ya Royal Tour anajua kilakitu kabla hata huja play movie yenyewe

Na kwamba Hittler hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaua Wayahudi kwasababu alikua scripted kufanya vile

Yanayotokea Gaza au Ukraine hayana budi kutokea

Kwamba mimi hapa najadili na wewe hapa Jf kwenye mada hii muda huu kwasababu imekua scripted hivyo

Kwamba mauovu yote haya duniani hayana budi kutokea kwasababu yamukua scripted hivyo...... and ALMIGHTY GOD KNOWS BUT HAS NOTHING TO DO ABOUT IT, karuhusu yatokee tu

Na mwisho wa siku atakwenda kututia kibiriti kwenye moto wa MILELE kwasababu tumekua scripted kufanya tuliofanya

Kuamini UJINGA kama huu lazima uwe na shambulio la akili linalo itwa IMANI YA MUNGU

Free will kwa binadamu ipo na iko limited kulingana mazingira yanayo mzunguka capability yake nk
Lakini sio MUNGU kwasababu HAYUPO
Hahaaaa mkuu umenichekesha sana eti shambulio la akili. Kuamini Mungu hutakiwi kuingia na akili zako huko.

Cc.
Tayana-wog
 
Mkuu una maanisha shetani ulikuwa ni mpango wa Mungu yeye aje kuwa vile na sio kwamba alifanya uhasi kwa utashi wake?

Unamaanisja Mungu alijitengenezea mpinzani ili kuweka balance ya nature?

Watu wanajadili Mungu kwa dhana na "nani" ni kutokana na jinsi ambavyo huyo Mungu alivyo elezewa na vitabu

Ikiwa kama tu maelezo ya mwanzo yanasema Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake, huoni huo ndio mwanzo wa kum-picture Mungu katika angle ya "nani"?

Dhambi na makosa???
Mungu atakua kamuumba shetani ili yeye apate sababu ya kuwa Mungu.
 
Hii hiyari mnaitafsiri vibaya!

Ni Kama upo chuo, unahiyari kusoma au kutosoma!
Lakini kitu chenye manufaa kinacho tegemewa kwako ni wewe kupata elimu!

Maamuzi yako ya kukataa kusoma na ili hali upo chuo yatakupeleka katika kufeli Jambo ambalo si lengo la chuo!.
Kutokana na tabia yako ya uzembe na kukataa kuzingatia Masomo waalimu wanajua kuwa wewe utafeli na kutoendelea na Masomo!

Kujua kwao kuwa utafeli haina maana kwamba wamekupangia ufeli bali wameona mwenendo wako kuwa wewe ni mtu wa kufeli.

Mungu hajapanga Mtu wa motoni Wala wa Mbinguni,
Ila anajuwa kwa elimu yake kuwa wewe hata uhubiriwe vp huwezi kuongoka kutoka na tabia zako.
Kujua kwake haimaanishi kwamba amekupangia!
Bali wewe kwa matumizi mabaya ya hiyari umejichagulia njia potofu!.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mungu hajui katoto kadogo kalikozaliwa leo kama kataenda motoni au mbinguni?
 
We live in the universe of 'duality'

Good|bad, juu|chini, kulia|kushoto, ukweli|uongo
MUNGU | SHETANI

Ili ulimwengu uwe balanced ilibidi MUNGU amuumbe shetani

Kosa kubwa watu hufanya kwenye majadiliano yahusuyo Imani ni kuuliza swali la MUNGU ni Nani badala ya MUNGU ni nini? Na ndicho kinachojadiliwa hapa

Kwanza kabisa tujiulize MUNGU ni nini?

Nikupe mfano huu,
MUNGU katika kusudi lake la milele kabla hajamuumba binadamu aliuliza HAKI,KWELI NA HURUMA endapo ni vema wamuumbe binadamu au lah

Haki akajibu "usimuumbe binadamu Kwa kuwa atazivunja Sheria na kanuni zako zote"

Kweli akajibu "usimuumbe Kwa kuwa binadamu atakuwa mbaya na daima atatafuta uwongo na hila( udanganyifu)

Huruma akajibu "ninajua mwanadamu atakuwa mbaya Sana lakini Mimi nitamuhifandhi na kutembea naye katika njia zake za Giza mpaka mwishowe nitamrejesha kwako"

Umejifunza nini hapa mkuu kuhusu free will mkuu?

Kuna tofauti Kati ya dhambi na nakosa.Ukifanya dhambi MUNGU hawezi kukuona maana ni mtakatikfu ,ndy maana Adam alipokula tunda, MUNGU hakumuona Adam ndy maana akauliza "Adam uko wapi"
Je ni kweli Mungu hakumuona?ina maana sisi tukitenda dhambi hatuoni?kama ndivyo mbona basi alishuka sodoma kuona maovu yao?
 
Haya maswali yanaweza kujibika tu kama kwanza tutamkubali Yesu na kujifunza kupitia maisha yake duniani,kwa kuwa,
Yeye ndiye njia na kweli,na uzima
,Aliyemuona yeye,kumuona Mungu na
Maisha yake ni kielelezo.
 
Back
Top Bottom